Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Happy birthday Wenger! Leo Mungu hakupe nini, lakini nimeona mashabiki still anataka aondoke.
 
Happy birthday Wenger! Leo Mungu hakupe nini, lakini nimeona mashabiki still anataka aondoke.

Ndiyo kawaida ya goons…hapa kawajambisha kidogo tu, basi wanasahau kila kitu na Wengometer inasoma kwenye green sasa...
 
Ndiyo kawaida ya goons…hapa kawajambisha kidogo tu, basi wanasahau kila kitu na Wengometer inasoma kwenye green sasa...

​Ndio hivyo, leo wanasifia ushindi wa chupuchupu wamemsahau babu wa kifaransa, atapumua kidogo leo.
 
​Huyu hapa everlenk, niambie umenuna au unatabasamu kwa ushindi wetu mnono 🙂🙂

Mie tena!! Natabasamu coz of you,naona ulikuwa umejificha mabao yanaingia sikuoni ikabid nikutafute......

Halafu kule kwa waziri mkuu ndo umefanyaje? Sikusomi ujue??
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Baada refa kupuliza kipenga kumaliza mchezo wakati wachezaji wa Arsenal wakishangilia ushindi, Sanchez alikuwa akitikisa kichwa.

Mcheki hapa: https://vine.co/v/Oh7rBAWMUxQ

BAK, Mbu, everlenk

Sanchez ndiye pekee nayemuona akihangaika huku na huko, kiukweli, Arsenal hii ya Wenger ina safari ndefu sana kushinda vikombe. Yaani mechi kama 10 tulizocheza tunaonekana kama timu ya kawaida kabisa. Kwangu mimi tatizo la Arsenal kubwa kwa sasa ni Wenger. Mabadiliko yanatakiwa. Kwa mpira tunaocheza, hata akichukua Kocha mwingine mabadiliko yatakuwa madogo sana, hakuna tofauti. Majeruhi isiwe kisingizio hata kidogo, kila timu ina wachezaji wanaocheza na dhidi ya timu zingine. Pia, Arsenal tunatakiwa tukubali mabadiliko, Arsenal bila Wenger bado itakuwapo. COYG!
 
Inawezekana kwel AW ni mbishi na falsafa zake hazikubaliki kwa wengine, swali linakuja, AW akiondoka sasa nani atatufaa?!
Kocha gani kwa sasa anazo sifa kama za AW au zaidi?
Tusije tukawa kama Manure, tuwe waangalifu, tuna pt 6 Champs Lg, Premeir Lg tumepoteza mchezo mmoja tu, sawa sare nyingi, ila mechi tumecheza ni nane tu!
 
Back
Top Bottom