Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
Wanaoangalia mpira updates wakuu huku mtaani kwetu Chanel zimekata
Mnamiliki mpira ila hakuna mnachofanya cha maana
Wanaoangalia mpira updates wakuu huku mtaani kwetu Chanel zimekata
Arsenal kupigwa la pili
Arsenal kupigwa la pili
Hahahaa
Kwisha habari yao sjui leo kisingizio kitakua nini.... Si unajua wanacheza na a big team mkuu 😉😉😂😂Achana nao, wamepooza uwanjani
Hizo ndoto za arsenal kufungwa ni heri ungezifuta kwakua hilo suala halipo!
Tim ya wavulana uwezo wao ndio umeishia hapo.Arsenal mmavyowapeleka Hull hizi extra minutes mngecheza hivi mapema hii match ilikuwa yenu
Leo hii Gemu ni yetu penda msipende!! COYG
Piga mr bin uyoooooo