Ila siyo siri, goons wamejitahidi sana game ya leo. Maana hadi sasa wamepigwa 2-0; inaonyesha kiasi gani Wenger amefanya maboresho katika timu iliyokula 6-0 msimu wa jana.
Haya #Wasagasumu na #Mburukenge osheni vinywa vyenu leo, midfielders na anaoanao imetugharimu leo. Tukifika kwenye eneo hatari utadhani hatujui nini kifanyike nimenuna 🙁🙁