Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Leo siangalii game maana huku kwetu tunatumia cable wanaonyesha game ya Liverpool tu!!nategemea update ya game yetu kutoka kwako na wengine mnaoangalia kupitia hapa jamvini

Huyu mkenya Wanyama anajaribu kusumbua kidogo
 
Back
Top Bottom