Kona kuelekea arsenal, hawa jamaa nishaanza kuwaogopa
Hawa jamaa sio masihara, wenger inabid afanye sub mapema.
Mzee wenger sijui kwanini bado anamvumilia Diaby.
Daika ya 65 Cazorla In Diaby out.
Bora aiseeh maana nimesoma mnavyomsema kuwa alikuwa anazingua hapo kati