Nje kabisa ya 18 Ospina anashindwa kuokoa kabisa
Kwa ulivyoona alikuwa anauwezo wa kuuokoa?
Ni Half time sasa Kuna umuhimu wa Diaby kupumzika halafk either aingie Gibbs kisha Conquline arudi kati au aingie cazorla kisha welshere arudi kushka dimba.

Cazorla muhimu sana