Mkuu upo? Umepotea sn Aiseee!
Leo nawakaribisha Etihad muone mambo safi kabisa Yale nyie mlishindwa!
nipo Ntuzu, ila leo hamtoki etihad. Nadhani kuanzia leo gunnerz ndo itakua tim pekee ambayo haijapoteza. Najua leo kwa uwoga wa morinho lazma atupie wakata umeme wawili au watatu pale kati, obi,matic na ramirez
Mkuu Leo sisi tunakwenda kucheza bila PRESHA!
Man City wako na PRESHA KUBWA hasa Kwa game ya leo na hii inatokana km watapoteza gape ya points itakua KUBWA km 8 hivi, na Kwa uchezaji wa Chelsea msimu huu Kwa hiyo gape man City kutetea ubingwa itakua kz mno! Hivyo wako na PRESHA sn!
Kitu ingine viwango vya baadhi ya wachezaji wa City vimeshuka km Yaya Toure na wengine Wakati huo Chelsea imezidi kuimarika kila sehemu!
Na pia hii game inakumbusha msimu uliopoita Kwa Chelsea kuvunja rekodi ya City ya kutokufungwa home pale!
Wakati huo Chelsea wako kimya na wanakchukulia hii game umuhimu mkubwa sn! Hivyo basi kuipoteza sio malengo Yao!
Mkuu Lazima tuwapige Man City Leo!
hahah mkuu ntuzu kwa siasa hadi mpirani? Well, kama kweli hamna presha wala uwoga bas mmweke matic peke yake ktk holding midifild kama game nyingne zilizopita. Lakini mkimpa kampani ya obi,ramirez,wilian mtakua waoga
Mkuu hii game ya Leo tunakwenda kucheza Kwa uhuru! Yani bila hofu!
Mara zote huwezi mchezesha kiungo mkabaji peke yake Lazima umuwekee pacha wake! Lkn ktk pacha wa Leo atakua Matic Na Ramires pale Kati! Au km Obi akianza Pamoja na Matic basi Ramires atakaa upande wa Winger ya kulia!
Bado Hawatoki Hawa Man City!
game kama 3 hv mmecheza na kiungo mkabaji mmoja bila wasaidizi..
Mkuu wataandika watachoka kwani wameanza leo. Timu ipo sawa kuanzia mid next month utaona mabadiliko wacha-na na hao mburukenge wa British tabloids let alone the mediocre JF #vimburukenge's# who copy and paste the articles from the media and think they've a point to prove. Days are coming ambapo watalia sana.
Haya maneno yako nayaweka kwenye hansard, '...kuanzia mid next month...'
Hongereni.
Mkuu wacha huu ndo mwezi wa mabadiliko uliotabiriwa au tuusubiri mwingine??!
Mambo mbona bado mapema hata mwezi haujaisha njoo J4 Emirates uwaone Ospina, Campbell, Zelalem, Coquelin Sanogo etc. kwenye kombe la mbuzi. Alexis atakuwa mgeni rasmi .. . .... .... ...... .... ... anawachubiri Spuds ... .... .... .... khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee patamu hapo!
Hongereni.
Mkuu wacha huu ndo mwezi wa mabadiliko uliotabiriwa au tuusubiri mwingine??!
Napita mtaa huu
Wow!! Weekend hii ilikuwa POUWA balaa. Wapinzani wetu wote (Chelsea, Mancity, Liverpool, Everton, Manu, Tottenham) hawajachukua max points, wakati sisi tukizoa zote tatu, goli tatu, na clean sheet. Dah, hii weekend sijui itajirudia lini tena!! Kweli adui yako muombee njaa, na njaa iwakute maadui wetu. COYG!
First Eleven.
Ospina,
Berlin, Chambers, Hyden, Conqueline,
Diaby, Rosisky welshire, Alexis,
Campbel, Podolsk.
Subs: