Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Balack alimpiga kijembe ozil Leo naona yuko vizuri uwajani I wish all t he best you all the best arsenal fans
 
Wenger: Hata mkimsemea vibaya Ozil ila bado naweza mnunua tena kwa zaidi ya paund 42million kwani bado
anathamani hiyo, na kwanini timu ikicheza vibaya mnamuangalia mchezaji mmoja???

*****
 
Kuna timu unaweza ukawa unashangilia ushindi tena kipindi cha kwanza lakini sio Arsenal...
Hapa kelele zenu labda tuzisikie baada ya Dk 90!!
 
LoL! Mkuu MEANDU waangalie kwenye EPL Table wanacheza kwenye namba ipi. Pamoja na kuwa ndio wiki ya nne tu tangu ligi ianze, lakini wasingekuwa hapo walipo kama timu yao ingekuwa ni mdebwedo.

mechi ngumu sana hii kwa arsenal kuliko ile na man city
 
Last edited by a moderator:
Happy days gunners...
_77715116_welbeck-goal-afp.jpg _77715114_ozil-goal-afp.jpg _77714017_aaa58003-b4b3-49b0-a639-750e175a1c50.jpg
 
Kuna timu unaweza ukawa unashangilia ushindi tena kipindi cha kwanza lakini sio Arsenal...
Hapa kelele zenu labda tuzisikie baada ya Dk 90!!

Point tatu muhimu kibindoni that's all maters
 
Ngoja tuwa onyeshe kuwa kupiga mtu 4 sio ishu.Kama wao walivyo mpiga QPR

pamoja....na...majanga...yetu...msimu...uliopita....bado...roho...zinawadunda... man-U....chama..kubwa...lile..
 
Last edited by a moderator:
Kwi kwi kwi kwi lol!!! Usisahau mpira siku zote ni dakika 90 na kwenye hizi dakika 90 lolote lile linaweza kutokea na kuwashangaza wapenzi na washabiki wa mpira Ulimwenguni. Enjoy the 2nd half.

Kuna timu unaweza ukawa unashangilia ushindi tena kipindi cha kwanza lakini sio Arsenal...
Hapa kelele zenu labda tuzisikie baada ya Dk 90!!
 
Wapenzi wa mpira bana tunawahi kuconclude kuhusu uzuri au ubaya wa mchezaji , kocha na timu . Let's take one game at time.
 
Back
Top Bottom