Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mechi ngumu hii, AV wana confidence ya hali ya juu.

#InGunnersWeTrust
 
Ninavyoona Chambers hawezi kucheza vizuri RB kama anavyocheza CB. Jamaa hana kasi za kucheza RB naona anakimbizwa mchakamchaka na wingers wa Aston Villa
 
Leo tumeanza vizuri timu inaonana tatizo ni umaliziaji, wakifika eneo la hatari wanapoteza mipira kiurahisi-rahisi Aston Villa wanabana sana nyuma kama wanavyotakiwa
 
Ngoja tuwa onyeshe kuwa kupiga mtu 4 sio ishu.Kama wao walivyo mpiga QPR
 
Back
Top Bottom