Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

i
 
Huijui timu yako vizuri,Arsenal huwa haifungwi mfululizo hapo ndio Wenger huwa anawashangaza watu

Wapenzi wa mpira bana, tunasahau na tuna visingizio vyepesi. Misimu michache iliyopita Arsenal walifungwaga mechi 3 mfululizo, leo unasema vyingine
 
AW bhana game ngumu kufanya sub kama hiyo kazi kweli kweli ila leo kaona kashashinda ndo anafanya!!
 



Arsene%20Wenger%20Mesut%20Ozil.jpg




Prof hana wasi wasi kabisa na performance ya Ozil pimbi pamoja na #Mburukenge# wanaweweseka ........ .....
Tangu lini wametoa any good comment kwa mambo ambayo
Prof
anayofanya kwa
Gunners .......Nay


Vijana wako away kesho Villa Park tegemea ushindi mnono COYG KICK OFF 15:00 Hrs British summer time




Point 3 muhimu sana ... .... .... ... ..
 
Back
Top Bottom