Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

1410781786195_wps_12_Arsenal_s_manager_Arsene_.jpg

Prof akipiga hesabu ... ... .. . .nani wa kumwacha kwa trip fupi ya Germany .. ...
 
hivi yule MONREAL siku akikutana na mtu kama Di Maria au Rahim Sterling ndugu zanguni si itakuwa majanga!!!! Huyu mchezaji kwa kweli sijui anapataje namba hapo Arsenal.......

Mpaka tukutane nao, Gibbs atakuwa fit.
 
Mfarisayo Wacha kupotosha ... .... ...

1410781613338_wps_9_15_September_2014_UEFA_Ch.jpg

Ozil Jembe mnamuhara khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Arsenal leo tunakutana na Borussia
Dortmund ugenini michuano ya
Champions League kundi D
Mathieu Debuchy ni majeruhi na
Calum Chambers ambaye anaweza
kucheza beki mbili uwepo wake ni
50/50 kwa kua anasumbuliwa na
tonsils.

Beki mbili pekee aliyejumuishwa
katika kikosi hicho ni Hector
Bellerin, na hivi ndivyo Wenger
anavyomzungumzia:

'Bellerin ni mvulana anayejielewa.
Hatishwi na presha. Hilo ni
muhimu ukiwa bado mvulana.
Kubadilika (kukaba na kushambulia
dimbani) kwake ni bora kabisa.
'Ni mwepesi na ana kasi na pasi
zake za mwisho ni nzuri. Anakosa
uzoefu lakini ni mchezaji hatari
sana.'

Bellerin amecheza mechi moja tu
ya nguvu akiiwakilisha Arsenal;
michuano ya the Capital One Cup,
hajawahi cheza EPL wala FA cup na
leo kwa mara ya wkanza tukiwa
ugenini anaweza kucheza
Champions League dhidi ya
Dortmund dimbani kwao
Westfalenstadion.

Nilimshuhudia akiwa anapandisha timu ni mzuri kwa kweli ana kasi kuliko walcot.

Cheers tukutane Ujerumani

Man u nawakaribisha maana hamna timu huku

#coyg
 
Mkuu nina wasi wasi na huyo kijana sababu kwa matatizo ya huyu kocha hizo sifa zote zaweza kuwa is lolote wala chochote

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Mkuu nina wasi wasi na huyo kijana sababu kwa matatizo ya huyu kocha hizo sifa zote zaweza kuwa is lolote wala chochote

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Mkuu nimemshuhudia akicheza ni mzuri kama akipangwa utathibitisha mwenyewe ana spidi confidence ya hatari mitungi kama kawa anashambulia kwa tahadhari.
niamini mimi

#coyg
 
Haya haya wakuu wa Gunners tukutane hukoo Westfalonstadon a.k.a Induna Park tukutane huko najua kabisa wafukunyuku watazagaa sana humu ndani but natumai wataambulia kapa.
#COYG .
 
_77621983_e3893bd9-8c59-4992-81a4-01e840d30914.jpg

Here we come the teenage sensational H Bellerin takes his place
.. ... .. . ... . mtanange ndio kwanza unaanza kunapashwa joto 19:45
British summer time kick off ... ... . ... ... .... .. . COYG

Arsenal XI: Szczesny, Bellerin, Koscielny, Mertesacker, Gibbs, Arteta, Wilshere, Ramsey, Alexis, Ozil, Welbeck

Substitutes:
Ospina, Chambers, Rosicky, Oxlade-Chamberlain, Cazorla, Campbell, Podolski
 
walete walete pamoja sana mkuu.
#COYG .
 
Mimi ni mshabiki na mpenzi mkubwa sana wa Arsena. Lakini kwa hii game ya leo siyoni kama tuna timu ya kucheza na Borrusia Dotmond...natabiri leo tunafungwa,tena magoli mengi.

Borrusia Dotmond 4 - Arsenal 1 au B.Dotmond 3 - Arsenal 1. Au tumejitahidi saaana tena kwa jasho na damu basi itakuwa droo. Na mchezaji mmoja wa Arsenal atatolewa nje kwa kadi nyekundu. Hutaki unaacha.
 
LINE UP:Sezny,bellerin,gibbs, koscielny,mertersacker,arteta,wilshere,ramsey,welbeck,ozil,sanchez
 
Mimi ni mshabiki na mpenzi mkubwa sana wa Arsena. Lakini kwa hii game ya leo siyoni kama tuna timu ya kucheza na Borrusia Dotmond...natabiri leo tunafungwa,tena magoli mengi.

Borrusia Dotmond 4 - Arsenal 1 au B.Dotmond 3 - Arsenal 1. Au tumejitahidi saaana tena kwa jasho na damu basi itakuwa droo. Na mchezaji mmoja wa Arsenal atatolewa nje kwa kadi nyekundu. Hutaki unaacha.

Basi sawa naona umeamumua kuvamia kazi ya TB Joshua.
 
Back
Top Bottom