.....kina Peasant, Masa.......naona magego yote nje........!
...ha ha, acha tu...kelele zao miiiiingi lakini hatimaye walikwenda kulala.
Anyway, dirisha dogo la usajili bado li wazi.
AW alimtaka sana Ryan Babel kabla hajakwenda Liverpool. Baada ya 'kuchezea' benchi mfululizo kule kiasi cha kutosha, sasa ugomvi wake na Rafa Benitez umefikia kiwango anatakiwa kuuzwa kinguvu kwa Arsenal... http://www.goal.com/en-india/news/2...nager-rafael-benitez-will-offer-ryan-babel-to
Mnaonaje washika bunduki wenzangu? anatufaa huyu dogo au ni punda kwenye 'fuko la rambo?'

dogo anatufaa sana na nitafurahi kuwa na mchezaji aggresive kama yeye pale mbele manake watu mayai sana pale.kama ni kweli hizi habari ni good news sana kwetu wakuu....ha ha, acha tu...kelele zao miiiiingi lakini hatimaye walikwenda kulala.
Anyway, dirisha dogo la usajili bado li wazi.
AW alimtaka sana Ryan Babel kabla hajakwenda Liverpool. Baada ya 'kuchezea' benchi mfululizo kule kiasi cha kutosha, sasa ugomvi wake na Rafa Benitez umefikia kiwango anatakiwa kuuzwa kinguvu kwa Arsenal... http://www.goal.com/en-india/news/2...nager-rafael-benitez-will-offer-ryan-babel-to
Mnaonaje washika bunduki wenzangu? anatufaa huyu dogo au ni punda kwenye 'fuko la rambo?'
sio kama hatukutaka kushinda lakini kila timu ina malengo yake na katika malengo yetu fa cup ni ya tatu.I love fat Arse fans always use kind of excuse, "We didn't really want to win it".
Arse 3 Stoke 1
inama masanilo hizo reasons alizotumia wenger inama kwako hazi make sense? au ndio pombe zako kama kawaida lol?ARSENE WENGER insists he is to blame for Arsenal crashing out of the FA Cup at Stoke.
The boss gave a second debut to Sol Campbell but kept Andrey Arshavin and Eduardo on the bench and left out William Gallas.
Wenger said: "If you win, it's OK. If you don't, it's your fault. I have to stand up for it.
"I've got no regrets about the selection.
"I didn't have much choice as - apart from Gallas - Sagna, Vermaelen and Clichy could not play.
"They will be back for Aston Villa in midweek and might have missed that if they'd played against Stoke - apart from Gallas.
"If you look at our schedule, you can't always play the same eleven."
The Gunners went down to two goals from Ricardo Fuller and one from Dean Whitehead.
Wenger added: "We have 10 injuries and we're going into a period where we cannot rotate very well. I knew it would be tight but I had more hope that putting the three players on near the end would give us more chance of winning the game. It was a risk.
"Some of the players were a bit too young to face a physical fight. It was always important we could cope with a physical game."
Stoke boss Tony Pulis said: "We knew, irrespective of the players he selected, they're a quality team.
"Have we got the Indian sign over them? I hope so because we've got to play them again in the league!"
Source: The Sun
inama masanilo hizo reasons alizotumia wenger inama kwako hazi make sense? au ndio pombe zako kama kawaida lol?
...Nicklas Bendtner anarudi uwanjani Jumatano hii (Arsenal Vs Villa), hopefully ile 'partnership' yake na Eduardo itaendelea kuwa tishio!
mechi ya kesho kwangu mie kama fainali,nataka kuitumia kuona reaction ya wachezaji wetu baada kujua kwamba wako out of fa cup already.je watakaza buti zaidi au style ndio hile hile show game mpaka goli liingie? kama tukiweza kuona wanajituma 100% basi tutegee mambo mazuri mechi zijazo lakini kama watacheza utasema wao ni mabingwa tayari i will be sad to say the season is over for us....Nicklas Bendtner anarudi uwanjani Jumatano hii (Arsenal Vs Villa), hopefully ile 'partnership' yake na Eduardo itaendelea kuwa tishio!
mechi ya kesho kwangu mie kama fainali,nataka kuitumia kuona reaction ya wachezaji wetu baada kujua kwamba wako out of fa cup already.je watakaza buti zaidi au style ndio hile hile show game mpaka goli liingie? kama tukiweza kuona wanajituma 100% basi tutegee mambo mazuri mechi zijazo lakini kama watacheza utasema wao ni mabingwa tayari i will be sad to say the season is over for us.
KAMA LINKI INAVYOONYESHA HAPO CHINI RAPA MAARUFU WA MAREKANI JAY Z AMBAYE ALIWAHI KUJA TANZANIA KIPINDI FULANI PAMOJA NA KIONGOZI WA AL QAEDA OSAMA BIN LADEN NI MASHABIKI WA ARSENAL FC
KUMBE MPIRA NI KIUNGANISHI CHA JAMII ZA AINA ZOTE.
PENDEKEZO LANGU NI BORA WAMAREKANI WAMTUMIE WENGER NA KIKOSI CHAKE KUSULUHISHA UGOMVI WAO NA OSAMA WAKAACHA MBINU YA VITA.
http://goal.com/en-us/news/85/england/2010/01/25/1761003/rapper-jay-z-i-support-arsenal
Ina maana ulikuwa hujui kama Osama is a Gooner? Mbona inajulikana siku nyingi sana?! Angalia hizi links:
http://www.telegraph.co.uk/sport/fo...l/3016918/Osama-bin-Ladens-Highbury-days.html
http://news.bbc.co.uk/sport1/hi/1650069.stm
http://www.xomba.com/true_story_how_osama_bin_laden_became_arsenal_soccer_fan
Bundi kesho anaanza kuwalilia teh teh teh teh
The GunnersRe: Jay Z na Osama bin Laden ni mashabiki wa Arsenal FC
Subiri siku wajilipue ndio utajua!....lolπ In Osama they (Arsenal) trust!π
Wakati wengine tunasherehekea wengine mutakuwa mnauguliza ha ha ha haBundi kesho anaanza kuwalilia teh teh teh teh