Well, Blues are way better than those Arse scum from Holloway.Pride of London? more like chavs of London, Aheri nisapoti timu yangu ya mitaani Brentford fc kuliko hawa chavs wa Fulham road.
![]()
Dean Whitehead finishes the wachumba off
...... Sasa hivi hawana striker wa maana lakini kwa ubahili wake anasubiria Bendtner kana kwamba Bendtner ni bonge la straika kumbeee..another mediocre.
Arsenal ni mkusanyiko wa wachezaji mediocre na magenius wachache akina Fab na RvP, wengine wote wanabenefit tu kucheza timu moja na hawa magenius wachache.
![]()
Denilson and Sol Campbell hands down!
mkuu campbell mechi zake ndio kama hizo na ni sub kama injury itatokea kati ya varmelen au gallas acha ulevi mkuu usijifanye kama hujui kwanini wenger kamchukua.
Mkuu inaonekana Stoke wamekufurahisha sana? AW alishasema FA sio priority na kwa kweli haya makombe mbuzi yanaongezea ugumu wa fixture tu. Na tusubiri May mkuu lakini nakuambia you will be in for a good shock!! Coming May Fat Arse will be on top of premier league.🙂😀Come on Stoke, It ain't over til the fat Arse sings.
Sioni picha zikimiminika hapa leo, kulikoni....kwani hakuna picha za Stoke wakipiga mabao that fat Arse.
Hahahaha, ok chief. Tutakumbushana hizi sentensi itakapofika May.Mkuu inaonekana Stoke wamekufurahisha sana? AW alishasema FA sio priority na kwa kweli haya makombe mbuzi yanaongezea ugumu wa fixture tu. Na tusubiri May mkuu lakini nakuambia you will be in for a good shock!! Coming May Fat Arse will be on top of premier league.🙂😀
Leo wamesusa mkuu lakini nitawatundikia hata kama hawataki!!!!
![]()
Ahsante sana, mkuu pamoja na Masanilo kwa kutundika picha....maana yule mtundikaji maarufu amezira, au nae kaloweshwa kama Campbell hivyo amechoka!
![]()
Fuller gets the better of the Arse
si nilikwambia juzi utulie kwani furaha kwenye michezo leo kwako kesho kwa mwenzio? lol sasa leo furaha hiko kwako mkuu enjoy it.Siwezi acha kulewa mazee matokeo kama haya
Arsenal 3 Stoke 1
Leta round ya Serengeti lager hapa tufurahie ushindi Mkuu! Tamu ya Ushindi si unaijua?
Captain Fabulous anasikilizia maumivu kutoka kwa midume ya Stoke.Oooh How I wish the outcome was different...but do I say????
![]()
kwenye hili kusema kweli hata mimi kanishangaza na naona hana nia ya kombe kwani ilikuwa opportunity nzuri sana mwaka huu.sioni tatizo liko wapi kumleta striker atleast on onloan manake number one striker wetu kaumia,AW analeta jeuri yake ya kila siku ndio kwanza anazungumzia ben ku-cover up utasema ben mgeni kwake.hapa proffesor nampinga sana na naona anapoteza season ambayo hiko very open mwaka huu.
I did not have much choice," he said. "We have 10 injuries and I cannot always play with the same 11
Trophy-less season kama kawaida yetu the gunnerzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz!
There was a spirited showing from Jay Emmanuel-Thomas, the leggy teenager who was debuting in attack. Coquelin, making just his second start, began nervously. Yet it was telling that the two most inexperienced players were substituted along with Theo Walcott. In a dispiriting display, it was another ineffectual performance from the winger. Of the other reserves, Fabianski and Silvestre suggested they should stay on the bench