Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Dk ya 40 Scunthorpe United 1-1 Man City. Kwa jinsi hawa Scunthorpe United wanavyocheza Man City watatolewa FA Cup
 
_47174797_sc_pa766.jpg



Stoke got their revenge on a day Sol returned.
 
Jamani mi nnatumbo la kuhara hapa.
Stoke wana2tishia amani. Mpaka dk tisini ndo ntarikava.

Mkuu mpira huu hivi huwa huoni kwenye michezo. Lazima utumie mbinu ati! usijali utakuwa sawasawatu.


Haya tumeshatolewa sasa tuelekeze nguvu zetu kwenye EPL. Tuna ngwe ngumu sana kuanzia J'tano ambapo tutakuwa ugenini kwa Aston Villa. We have become a big target, and some of the teams want to stop us by any means from achieving our dreams in 2010.

Si uliona Wenger amewapumnzisha Gallas na Vermelan kwa sababu mambo yote yanaanza kwa Villa. Its good kwa sababu focus itakuwa nzuri kuliko wangeshinda maana wangebweteka.



....mnnh, na wewe BJ unapoteaaaaa!...

haya, dkk ya 90 hiyoooo, hapa sina ujanja tushatolewa bana. dah,...halafu ukiangalia fixture ya EPL na CL naona kidogo kidooogo makombe yanaanza kututoka...

... na donge kitu hapa, stress tupu Arsenal saa nyingine...

Stress ya nini mkuu, shaka ondoa sisi tupo kwenye hii kitu hadi last day.


Poleni Arsenal..........ndo ukubwa huo


Mpira huo Stoke had nothing to compete except this cup. The defence was not up to it.

...next two weeks fixtures ngumu ajabu, tuna Manure, Liverpool, Chelski na Aston Villa. Ingesaidia kama tungeshinda angalau FA cup mwaka huu. Priority za AW sijui wapi,... sidhani kama tuna matarajio makubwa CL...

...anyway, acha tukimbizane na Manure na Chelski japo mnhhhh...
Kwa mtindo huu, mwakani inabidi nipeane talaka na ARSENAL. Mimi nimezaliwa, kulelewa na kukulia nikishabikia wana 'Msimbazi' Simba "Taifa Kubwa", Pressure ya nini Ulaya? ...😀

I bet kina Chelski, na Manure watakuja kuninukuu hapa, ha ha ha...


Arsenal, together we stand!!!!


Hakuna ugumu hapo kaka hizo timu wanatuhara utaona mambo yatakavyokuwa.

...ha ha haaa, wewe huna jumapili bana? hebu tupe muda kidogo tuugulie. Dah, hiki kichapo kinauma acha tu mazee. Nilikuwa na matarajio makubwa tu leo.

No wonder 'Acheni-lote' sijui 'Anchi-loti' (yule meneja wenu Chelski) anapanga full kikosi hata mkicheza na timu za 'mchangani'.

Hawana kitu hao subiri sijui watamleta nani pale maana wao no tambara bovu Acheni lote mwenyewe anafahamu nini kinamsubiri.


Yeah, ngumi za usoni. J5 wakipewa nyingine itaondoa ego ya kibabu Wenga, pengine itasaidia kuacha ubahili na kutegemea wachezaji unreliable, akina Vela na Walcot et al. Sielewi alimaanisha nini kuweka watoto wa Carling Cup kwenye mpambano chapwa kama huu.


Alikuwa anajaribu defence kwa kuwapumnzisha veterans kutokana na mfululizo wa mechi za wiki hii.
 
Leo mumelinywa tu hata mkatae.

Mara sijui eti oooh Chelsea wamepanga 1st eleven ya nini?...N'do matokeo yake hayo..."Ukicheza na mbwa atakufata hadi msikitini"...I know u get my drift!!!!
 
Leo mumelinywa tu hata mkatae.

Mara sijui eti oooh Chelsea wamepanga 1st eleven ya nini?...N'do matokeo yake hayo..."Ukicheza na mbwa atakufata hadi msikitini"...I know u get my drift!!!!

Mkuu nakuunga mkono kabisa. Beki zetu za kushoto na kulia zilikuwa zinavuja sana leo baada ya wale waanzaji kuwekwa benchi na AW ili "kuwapumzisha" uamuzi ambao nadhani sasa AW anaujutia. Bado masaa machache kabla ya game kuanza, nitakuwa nashangilia timu yako maana mara nyingi hupendelea underdogs especially taking into consideration the inspiring story of your QB. GO Vikings GO!
 
Leo mumelinywa tu hata mkatae.

Mara sijui eti oooh Chelsea wamepanga 1st eleven ya nini?...N'do matokeo yake hayo..."Ukicheza na mbwa atakufata hadi msikitini"...I know u get my drift!!!!

Titchaz ebu tuwekee picha hapa, yule mweka picha wao kaji-Omondi....lol
 
Ukicheza na mdomo wa Mbwa tegemea kuumwa tu! Sol Campbell is close to 40 naona washika bunduki waona ni kifaa!

Safi sana Arsenal 3 Stoke 1

Titchaz ebu tuwekee picha hapa, yule mweka picha wao kaji-Omondi....lol
 
Ukicheza na mdomo wa Mbwa tegemea kuumwa tu! Sol Campbell is close to 40 naona washika bunduki waona ni kifaa!

Safi sana Arsenal 3 Stoke 1
Sioni picha zikimiminika hapa leo, kulikoni....kwani hakuna picha za Stoke wakipiga mabao that fat Arse.
 
The FA Cup fifth round :

Southampton v Portsmouth

Reading v West Bromwich Albion

Fulham v Notts County or Wigan Athletic

Chelsea v Cardiff City

Bolton Wanderers v Tottenham Hotspur or Leeds United

Derby County v Birmingham City

Manchester City v Stoke City or fat Arse

Wolverhampton Wanderers or Crystal Palace v Aston Villa
 
poleni washabiki wenzangu.siwezi kumlaumu wenger ku-rotate wachezaji bali nawalaumu wachezaji waliopewa nafasi kutotumia vizuri opportunity zao na kujiongezea mechi zaidi za kucheza. Instead wameenda kuboronga na matokeo yake itabidi wasubiri mpaka tukipata majeruhi ndio watapata namba msimu huu.


mbele kule tulikuwa hopeless kabisa mipira ilikuwa inapotea sana kwa vela na walcot naona uingereza wanatutafutia lawama tu na wachezaji wao,dogo final decision yake akiwa na mpira ni mbovu sana na sijui lini atarekebisha he is not ready to start on big games. defence leo dogo tu yule coquelin naona ana future nzuri wale wakongwe wawili wazito sana wataendelea na wamejipunguzia mechi wasubiri tu bahati mbaya mtu akiumia.


kwa vile Wenger ame sacrifice mechi ya leo kwa ajili ya mechi ngumu zinazokuja basi bora awaambie wachezaji wake hizo mechi sasa wacheze kufa na kupona manake haita leta maana kama watacheza show game mechi zijazo wakati wanajua kabisa ndio kombe tulikuwa na uhai zaidi.kuanzia sasa hivi kila mechi tucheze kama fainali tu hapo tutaweza kufanikiwa kuondoka na kombe.
 
Ukicheza na mdomo wa Mbwa tegemea kuumwa tu! Sol Campbell is close to 40 naona washika bunduki waona ni kifaa!
mkuu campbell mechi zake ndio kama hizo na ni sub kama injury itatokea kati ya varmelen au gallas acha ulevi mkuu usijifanye kama hujui kwanini wenger kamchukua.
 
Peasant;759108]Pole sana mkuu, sasa inakuwaje mnashindwa kuifunga Stoke huku mkiwa na Fabregas, Denilson, Walcott, Arshavin, Eduardo, RamseY, Campbell na Silvestre? Hawa wachezaji wakiwa kwenye timu zao za taifa watasema nini kuhusu mechi hii ya leo? kwi kwi kwi kwi? Trophyless as usual....karibu Chelsea "The Pride of London" kama utaama mwakani, anza kujifunza mashairi hapo chini ya Pride of London:
Pride of London? more like chavs of London, Aheri nisapoti timu yangu ya mitaani Brentford fc kuliko hawa chavs wa Fulham road.
 
Leo mumelinywa tu hata mkatae.

Mara sijui eti oooh Chelsea wamepanga 1st eleven ya nini?...N'do matokeo yake hayo..."Ukicheza na mbwa atakufata hadi msikitini"...I know u get my drift!!!!

He he..Akili za huyu kibabu Wenger huwa zinanishangaza. Anajua wachezaji wengi ni majeruhi, lakini hendi sokoni, kenda sokoni kumchukua beki wa miaka 35! Sasa ndio hivyo FA imeingia mchanga, sijui Sol atacheza mechi zipi??!!😀. Sasa hivi hawana striker wa maana lakini kwa ubahili wake anasubiria Bendtner kana kwamba Bendtner ni bonge la straika kumbeee..another mediocre.

Arsenal ni mkusanyiko wa wachezaji mediocre na magenius wachache akina Fab na RvP, wengine wote wanabenefit tu kucheza timu moja na hawa magenius wachache.
 
whiteheasd-500.jpg


Dean Whitehead finishes the wachumba off

guns-412.jpg


Denilson and Sol Campbell hands down!
 
Leo mumelinywa tu hata mkatae.

Mara sijui eti oooh Chelsea wamepanga 1st eleven ya nini?...N'do matokeo yake hayo..."Ukicheza na mbwa atakufata hadi msikitini"...I know u get my drift!!!!
mkuu timu yenu ina wakongwe wakutosha kwenye bench ambao wanaweza kustep up kwenye mechi kama hizi sisi hatuna, bench letu linaundwa na vijana wanao kuzwa.kusema kuchukua risk na first 11 kwenye mechi ya leo noma lazima to protect wachezaji muhimu kwani mechi nyingi mno.wakulaumiwa ni wachezaji waliopewa nafasi kutoweza kutumia nafasi zao thats it.


kila la kheri huko mbeleni naona wanazidi kukufanyia maisha rahisi wamekupa cardif.
 
mkuu campbell mechi zake ndio kama hizo na ni sub kama injury itatokea kati ya varmelen au gallas acha ulevi mkuu usijifanye kama hujui kwanini wenger kamchukua.

Siwezi acha kulewa mazee matokeo kama haya

Arsenal 3 Stoke 1

Leta round ya Serengeti lager hapa tufurahie ushindi Mkuu! Tamu ya Ushindi si unaijua?
 
. Sasa hivi hawana striker wa maana lakini kwa ubahili wake anasubiria Bendtner kana kwamba Bendtner ni bonge la straika kumbeee..another mediocre..
kwenye hili kusema kweli hata mimi kanishangaza na naona hana nia ya kombe kwani ilikuwa opportunity nzuri sana mwaka huu.sioni tatizo liko wapi kumleta striker atleast on onloan manake number one striker wetu kaumia,AW analeta jeuri yake ya kila siku ndio kwanza anazungumzia ben ku-cover up utasema ben mgeni kwake.hapa proffesor nampinga sana na naona anapoteza season ambayo hiko very open mwaka huu.
 
Trophy-less season kama kawaida yetu the gunnerzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz!
 
Siwezi acha kulewa mazee matokeo kama haya

Arsenal 3 Stoke 1

Leta round ya Serengeti lager hapa tufurahie ushindi Mkuu! Tamu ya Ushindi si unaijua?

Kikojozi lazima unywe si unaona unavyokojoa khe khe khe.
 
Back
Top Bottom