Jay Z na Osama bin Laden ni mashabiki wa Arsenal FC | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jay Z na Osama bin Laden ni mashabiki wa Arsenal FC

Discussion in 'Sports' started by Somi, Jan 26, 2010.

 1. S

  Somi JF-Expert Member

  #1
  Jan 26, 2010
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Kama linki inavyoonyesha hapo chini rapa maarufu wa Marekani Jay Z ambaye aliwahi kuja Tanzania kipindi fulani pamoja na kiongozi wa Al Qaeda Osama bin Laden ni mashabiki wa Arsenal FC

  Kumbe mpira ni kiunganishi cha jamii za aina zote.
  Pendekezo langu ni bora Wamarekani wamtumie Wenger na kikosi chake kusuluhisha ugomvi wao na Osama wakaacha mbinu ya vita.


   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Jan 26, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,154
  Trophy Points: 280
  Soccer connecting pipo
   
 3. Peasant

  Peasant JF-Expert Member

  #3
  Jan 26, 2010
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 3,949
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ina maana ulikuwa hujui kama Osama is a Gooner? Mbona inajulikana siku nyingi sana?! Angalia hizi links:

  http://www.telegraph.co.uk/sport/football/leagues/premierleague/arsenal/3016918/Osama-bin-Ladens-Highbury-days.html

  http://news.bbc.co.uk/sport1/hi/1650069.stm

  http://www.xomba.com/true_story_how_osama_bin_laden_became_arsenal_soccer_fan
   
 4. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #4
  Jan 29, 2010
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Miaka michache iliyopita Jay Z alikuwa na mpango wa kununua shares kadhaa Arsenal.
   
 5. Jambazi

  Jambazi JF-Expert Member

  #5
  Sep 2, 2014
  Joined: Jan 18, 2014
  Messages: 14,426
  Likes Received: 12,587
  Trophy Points: 280
  kwani ulikuwa hulijui hlo
   
 6. sembo

  sembo JF-Expert Member

  #6
  Sep 3, 2014
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 3,350
  Likes Received: 1,202
  Trophy Points: 280
  Hata sembo ni shabiki wa washika bunduki wa london.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #7
  Sep 3, 2014
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  Na HE Mr Paul Kagame (Rwanda prezd)
   
Loading...