palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,462
Niwasalimieni wote katika jina la upendo. Tutakianeni heri katika mechi za leo.
Hii ndio lineup mkuu?
Man c sio yule mlomfunga ngao ya hisani
Leo mtakalishwa, hata kwa lazima.
Jukwaa ndilo litakalonikimbia mimi na si vinginevyo 
dah!!welbeck kakosa goli la wazi kabisa
welbeck wa man ni tofauti kbs na huyu niniemwoma
#coyg