Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Febregas nope. . Vanpersie Yeh .. sana tena naumia akipiga mabao matamu

Cesc yupo Chelsea now nae atakuja kumtengenezea magoli Diego Costa wakija Emirates
 





There is only one prof .... .... .... .... COYG


Body language .. .. .. . .. ananikumbusha kijana machachari kutoka Mozambique .. .Samora Machel .. .. the guy was ready anytime anywhere.


Hapo kama wewe ndio mwajiri lazima utamwajiri prof ... .... ... full mikoba ready for work, wengine mazezeta tu wamesingiziwa .. ... ... wanajaribu kwenda kubahatisha kwenye interview .. ... .. patamu hapo ... ..
Go go go
Prof .. ... .. show them ... ..



BTW nachikia Peligrin alisahau kufunga mkanda khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee utakatika on the 13th this month pale Emirates ... .... ..
 
Kweli maisha bila unafkia hayaendi,wakati yupo Man U walikuwa wanasema hajui,mara ooh Shaba Ranks,mara cjui nn.Ila kwasasa yupo kwao ndio kageuka fundi,mara wanamfananisha na Henry,mara anajua kama Pele

Dah,kweli maisha bila unafki hayaendi
 
Duh Arsenal mulipofikia ni pabaya kweli, yani mpaka mtu anaona haibu kujisema Club yake? Simchezo!!!
 
Wakuu wa Gunners kuna mtanange wa ladies leo ......... against Notts County ... .. ..






Alex Scott

Enjoy ... ... ... .
 
Reactions: Mbu
Wakuu wa Gunners kuna mtanange wa ladies leo ......... against Notts County ... .. ..






Alex Scott

Enjoy ... ... ... .

u better enjoy that coz its ur only chance to win a league title!!!!!!!!!!!!!
 



Gunners ladies did in style .... .... .
winning by 2 goals after extra time
 
Last edited by a moderator:
Ile kutua Emirates Welbeck kafunga magoli 2 kwa #TeamThreeLions huu ni ushuhuda halisi kuwa Man Utd walikuwa wanamdumaza. Nina uhakika tukija Old Trafford Welbeck atafunga hat-trick na nyongeza

Cc: RRONDO, Nzi, Belo,Privacy,DonDonald,Bulldog,Mbu,Pazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…