Hio ni great analysis.
Man Utd wamesahau kuziba pengo la Rio Ferdinand, Patrice Evra na Nemanja Vidic, hawa walikuwa ndio wanahusika kuunda ngome imara ya Man Utd.
Lakini si mbaya watani wetu wanapangua na kupanga upya, sie twapita pembeni tukichagua.
Welbeck ana uwezo wa kumiliki mpira, ana mbio na ana uwezo pia wa kuuchezea mpira "dribbling", tatizo lake kubwa ni hilo la ufungaji lakini akiwa amezungukwa na watu kama Mesut Ozil, Arron Ramsey au Santi Cazorla na Sanchez ataweza kuwafanya Man Utd wajutie kumwachia aende Arsenal.
Jambo linguine la msingi ni kwamba ana uzoefu na ligi.
Atakuwa nyota akiwa Arsenal kuliko Yaya Sanogo.
Hio ni great analysis.
Man Utd wamesahau kuziba pengo la Rio Ferdinand, Patrice Evra na Nemanja Vidic, hawa walikuwa ndio wanahusika kuunda ngome imara ya Man Utd.
Lakini si mbaya watani wetu wanapangua na kupanga upya, sie twapita pembeni tukichagua.
Won't be surprised...he's #ArseneWenger type of a player, a down to earth character.
He's just 23yrs old, ....Mzee Wenger can turn him into the new #Anelka .
F.Y.I Nzi, Belo....
:A S-rap:Mbu nimekukubali kwa hili tehtehteh ila je Welbeck angebaki Man U ungeiweka hii stats? Nafikiria ulitoka Jasho kuitafuta. Kwahiyo Welbeck alikuwa mkali United au walikuwa hawajui kumtumia tufafanulie kidogo manake dk chache nyuma zinaonyesha haukumtaka Huyo Striker!.
Dah! Ila Wenger nuksi. Wenger ni mchumi, sio kocha. Angepanda uongozi wa juu tu awe mshauri huko. kwa hiyo angalau wachezaji wawili tumewaongeza msimu huu. Sanchez na Welbeck (endapo atadhibitishwa), sababu kiukweli Debuchy ni direct replacement wa Sagna, na Chambers ni direct replacement wa TV5. Labda kwa Welbeck sasa waingereza wataanza kumpenda kidogo Wenger kwa kuwa na viyoso vingi vya timu ya taifa. Ila Kiungo mkabaji ndo tusahau sasa. NB: Welbeck endapo atadhibitishwa hatimaye atakuwa kaiona Champions League, wakati RVP, Rooney, Di Maria, Falcao hawapo! Lol!
Wenger unaifanya timu yetu imekuwa yakuokoteza takataka?siku zote ulikuwa wapi?leo ndo unatoa ulimi kuhaha!timu inahitaji mshambuliaji wakuja,kiungo mkabaji na beki mwishowe unatuletea takataka!ina kera sana toka msimu wa 2003/2004 tumekuwa tunaumia,wenger ndo adui namba moja wa timu yetu tumekwambia sanchez mchezeshe kati husikii hutufai hutufai
Wenger unaifanya timu yetu imekuwa yakuokoteza takataka?siku zote ulikuwa wapi?leo ndo unatoa ulimi kuhaha!timu inahitaji mshambuliaji wakuja,kiungo mkabaji na beki mwishowe unatuletea takataka!ina kera sana toka msimu wa 2003/2004 tumekuwa tunaumia,wenger ndo adui namba moja wa timu yetu tumekwambia sanchez mchezeshe kati husikii hutufai hutufai
Rooney,Di Maria tayari wana medal za Champions League while Falcao yeye hajawahi kucheza Champions League ( sijui mganga wake kampa.masharti)but Shaba ranks pamoja na kucheza miaka yote nakumbuka amefunga goli moja tu against Real Madrid kwenye mashindano ya ulaya
Mkuu, usisahau ni Wenger huyohuyo alietoa uamuzi wa kuwanunua Chambers, Debuchy, Sanchez na kipa David Ospina.
Jamani pesa haitumiki hivyo.
Unafahamu kwamba Manchester City pia wameshindwa kumsajili Falcao na matokeo yake ameishia kuazimwa na Man Utd kwa msimu mzima?
Au unafahamu kwamba Arsenal na Tottenham walikuwa wakimgombea Danny Welbeck na Arsenal wakaamua kumsajili kwa hizo 16m baada ya kushindwa kumsajili Falcao?
Halafu inasemwa kwamba Falcao huenda amefeli jaribio la kwanza la uchunguzi wa afya yake (Medical)kule Man Utd, ila haiwekwi wazi.
Usisahau Welbeck ni mshambuliaji wa timu ya taifa ya Uingereza.
Hahahah,.....! yaani ukiandika hivi ndio unazidi kuwaumiza aiseee!
No wonder bado wameyang'ang'ania makaratasi wa Welbeck, hawana Striker sasa!
Nilisema huyu Falcao mgonjwa mgonjwa, hata World Cup aliikosa!....!
Halafu Belo, ukumbuke huyo unayemwita #ShabaRanks
mwenyewe kasema hataki kwenda On-loan kataka liwalo na liwe auzwe moja kwa moja lakini
mnamng'ang'ania mpaka dakika hii..... FALCAO kafeli medical......
.....subirini January, wakati huo mnapigania msishuke daraja!
Hahahah,.....! yaani ukiandika hivi ndio unazidi kuwaumiza aiseee!
No wonder bado wameyang'ang'ania makaratasi wa Welbeck, hawana Striker sasa!
Nilisema huyu Falcao mgonjwa mgonjwa, hata World Cup aliikosa!....!
Halafu Belo, ukumbuke huyo unayemwita #ShabaRanks
mwenyewe kasema hataki kwenda On-loan kataka liwalo na liwe auzwe moja kwa moja lakini
mnamng'ang'ania mpaka dakika hii..... FALCAO kafeli medical......
.....subirini January, wakati huo mnapigania msishuke daraja!
'Speculation that Radamel Falcao has failed his medical has been swiftly dismissed by Manchester United and sources close to the £6m loan deal that could rise to £52m if he moves to Old Trafford permanently next summer.'Also worth clarifying that the Colombian's salary will be £280,000-a-week and not the figure of £345,000 he was earning at Monaco which was initially quoted to United, Arsenal and Manchester City over the weekend. He still won't go hungry though will he.'
Sportsmail understands United have been given an extra hour to get this done...
Hakuna kitu kibaya kama mchezaji kuumia goli au "crucial ligament" kile kifuniko cha kwenye goti kinakuwa kimepasuka.
Sasa Ramadel Falcao aliumia tangu mwezi January mwaka huu na akawa anauguza hilo goti na hakucheza WORLD CUP mpaka mwezi ulopita ndipo alipoanza mazoezi mepesi.
Mwezi wa August Monaco wakaanza kuangalia kama wanaweza kumuuza kwa timu kadhaa barani Ulaya na kwa kweli walikuwa ni Man City walokuwa wakiongoza orodha ya timu zilokuwa na interest bila kusahau Arsenal.
Lakini unapofanya medical inategemea na matokeo lakini wanaweza wakawa wanarudia kila baada ya muda fulani.
Kama si hivyo basi itakuwa hiyo paperwork ambayo inakubalika kufanywa kuzingatia tu kwamba ile deal sheet imekwishatumwa kule FA.
Cha msingi hapa ni kwamba Danny Welbeck alipofahamu kwamba Ramadel Falcao anakwenda man Utd, na kwa kuwa pia Welbeck aliona kwamba kuna uwezekano wa yeye nae kuambiwa aondoke, basi akawa amepata fursa nzuri ya kuzungumza na Arsenal.
Sasa ikisemwa kwamba Danny Welbeck amesaini mkataba na Arsenal wa miaka 5 si haba.
Danny Wellbeck alishaambiwa na LVG wiki mbili zilizopita kuwa haitajiki,wakati huo hata deal ya Falcao kuja United halipo kabisa,Spurs ndio walianza kuonyesha nia ya kumtaka hata kocha wao alienda kumuangalia kwenye game na MK Dons na walimtaka kwa mkopo Wellbeck atakataa ndio Arsenal wakaja kumaliza biashara.Sisi tunamtakia mafanikio huko aendako
Mkuu Arsenal na Man Utd walikubaliana "in principal" kwamba Danny Welbeck haendi Arsenal mpaka usajili wa Falcao utakapokamilika.
Hio ndio sababu kubwa ya kuchelewa kutangazwa kwa usajili wa wachezaji hao wawili.
Si kweli kwamba Danny Welbeck alifahamishwa wiki mbili zilizopita kwamba hatakiwi Man Utd.
Agreement in principal inamaanisha hivyo kwamba ni lazima mimi nifanikiwe kwanza ndio wewe uweze ufanikiwa kwenye jambo lako.
Man Utd wanamchukua Falcao kwa mkopo huku wakifahamu kwamba ana matatizo ya goti ambalo aliumia tangu January 2014.
Hivyo Danny Welbeck bado alikuwa mchezaji wa Man Utd kama "back up striker" mpaka Falcao alipotua Manchester jioni ya tarehe 1 Sep 2014.