Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Natumai hizi dakika 10 zilizobaki vijana wanaweza kutupa raha kwa kusawazisha.
 
Haya tumeshatolewa sasa tuelekeze nguvu zetu kwenye EPL. Tuna ngwe ngumu sana kuanzia J'tano ambapo tutakuwa ugenini kwa Aston Villa. We have become a big target, and some of the teams want to stop us by any means from achieving our dreams in 2010.
 
Kaka hapo umesema hapa leo tumetoka kapa inabidi vijana waelewe kuwa hakuna FA cup tena kilichobaki ni EPL na CL
 
Mbu!..umechekelea mwenyewe eeh!...Haya mpira unaendelea tusubiri 90mn!

....mnnh, na wewe BJ unapoteaaaaa!...

haya, dkk ya 90 hiyoooo, hapa sina ujanja tushatolewa bana. dah,...halafu ukiangalia fixture ya EPL na CL naona kidogo kidooogo makombe yanaanza kututoka...

... na donge kitu hapa, stress tupu Arsenal saa nyingine...
 
Hahahahahaha!!!! Same old story, another trophyless season on the card!
 
Kaka hapo umesema hapa leo tumetoka kapa inabidi vijana waelewe kuwa hakuna FA cup tena kilichobaki ni EPL na CL

...next two weeks fixtures ngumu ajabu, tuna Manure, Liverpool, Chelski na Aston Villa. Ingesaidia kama tungeshinda angalau FA cup mwaka huu. Priority za AW sijui wapi,... sidhani kama tuna matarajio makubwa CL...

...anyway, acha tukimbizane na Manure na Chelski japo mnhhhh...
Kwa mtindo huu, mwakani inabidi nipeane talaka na ARSENAL. Mimi nimezaliwa, kulelewa na kukulia nikishabikia wana 'Msimbazi' Simba "Taifa Kubwa", Pressure ya nini Ulaya? ...😀

I bet kina Chelski, na Manure watakuja kuninukuu hapa, ha ha ha...

Arsenal, together we stand!!!!
 
Kama Wenger akimuingiza Arshavin na Eduardo kipindi cha pili basi mechi tumeshinda. Kwani replay sio nzuri inapoteza muda wa kuwazia kitu kingine.
Now you're talking! You've just answered your yesterday question about Chelsea lineup against Preston. Kumbe mkikamatwa mnarudi kwenye hali halisi.
 
....mnnh, na wewe BJ unapoteaaaaa!...

haya, dkk ya 90 hiyoooo, hapa sina ujanja tushatolewa bana. dah,...halafu ukiangalia fixture ya EPL na CL naona kidogo kidooogo makombe yanaanza kututoka...

... na donge kitu hapa, stress tupu Arsenal saa nyingine...

Mkuu Mbu, huyu BJ kapotea kweli 😉 yaani ukimuona ujue ni bahati kubwa sana anaingia na kuweka ujumbe na akimaliza tu kishatoka...LOL! BJ hongera kwa ushindi mkubwa wa jana na kurudi kileleni lakini ujue tutaendelea kula sahani moja na wewe mpaka kieleweke.
 
...next two weeks fixtures ngumu ajabu, tuna Manure, Liverpool, Chelski na Aston Villa. Ingesaidia kama tungeshinda angalau FA cup mwaka huu.[/QUOTE]

Mzee AW alikuwa anawaza kama wewe (japo ka FA msimu huu...), ndo maana aliingiza kikosi cha kueleweka. The problem is: Arsenal is not good enough, with lots of mid-average players.

Another trophyless season!? - well, time will tell!

Poleni
 
Hahahahahaha!!!! Same old story, another trophyless season on the card!

...ha ha haaa, wewe huna jumapili bana? hebu tupe muda kidogo tuugulie. Dah, hiki kichapo kinauma acha tu mazee. Nilikuwa na matarajio makubwa tu leo.

No wonder 'Acheni-lote' sijui 'Anchi-loti' (yule meneja wenu Chelski) anapanga full kikosi hata mkicheza na timu za 'mchangani'.
 
...next two weeks fixtures ngumu ajabu, tuna Manure, Liverpool, Chelski na Aston Villa. Ingesaidia kama tungeshinda angalau FA cup mwaka huu. Priority za AW sijui wapi,... sidhani kama tuna matarajio makubwa CL...

...anyway, acha tukimbizane na Manure na Chelski japo mnhhhh...
Kwa mtindo huu, mwakani inabidi nipeane talaka na ARSENAL. Mimi nimezaliwa, kulelewa na kukulia nikishabikia wana 'Msimbazi' Simba "Taifa Kubwa", Pressure ya nini Ulaya? ...😀

I bet kina Chelski, na Manure watakuja kuninukuu hapa, ha ha ha...

Arsenal, together we stand!!!!

Naona wapanga ratiba waliamua kutumaliza wiki hizi mbili maana wametupangia vigongo vya mechi kitu ambacho si kawaida kabisa. Tukiweza kujipatia kati ya points nane na kuendelea basi tutaendelea kuwemo kwenye kinyang'anyiro cha EPL, vinginevyo tutakuwa tumeyaaga mashindano hayo.
 
Yeah, ngumi za usoni. J5 wakipewa nyingine itaondoa ego ya kibabu Wenga, pengine itasaidia kuacha ubahili na kutegemea wachezaji unreliable, akina Vela na Walcot et al. Sielewi alimaanisha nini kuweka watoto wa Carling Cup kwenye mpambano chapwa kama huu.
 
Now you're talking! You've just answered your yesterday question about Chelsea lineup against Preston. Kumbe mkikamatwa mnarudi kwenye hali halisi.
Mkuu naona ulikuwa unanifuatilia vilivyo leo!!,sio mbaya tunaelekeza nguvu zetu kwenye EPL nautakuja yakumbuka maneno yangu kuwa huu mwaka ni wetu tunachukua EPL tropy.
 
Back
Top Bottom