Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

hapo kwenye defensive midfield ndio napaogopa sana mkuu.kipindi hiki kigumu kinakuja ndio maana nilikuwa naomba cameroon watolewa mapema tu lol.wenger achelewi kumueka campbell beki na kumpeleka varmelen midfield pale kama tukizidiwa.
wasiwasi wa nini wakati "unaongoza" ligi?😉
 
..haya tena,

leo tupo Stoke City... Gaffer kafanya 'mix-and-match', 1st eleven aliyebakia ni Fabregas na Denilson.

Mpira kuanza na kuanza tushakunywa kimoja, huyu Delap nuksi kitu... anarusha mpira utafikiri Yussuf Ismail Bana enzi zake!
 
...Theo Walcott, Theo Walcott, Theo Walcott...aaaaah!
ball control yake imepotelea wapi dogo huyu? ...Inasikitisha
kuona dogo aliyetazamiwa kuwa 'tegemeo' la England anaboronga akiwa na umri mdogo hivi..

Anyway, muda upo...
 
Ilikuwa ni Free kick kutoka kwa Fabrigas badala ya kupiga moja kwa moja akapasi kwa Denlison bila ya ajizi Denilson akachonga moja kwa moja mchezaji wa Stoke akai deflect kidogo akawa amemchanganya kipa wake 1-1
 
Kama Wenger akimuingiza Arshavin na Eduardo kipindi cha pili basi mechi tumeshinda. Kwani replay sio nzuri inapoteza muda wa kuwazia kitu kingine.
 
Jamani mi nnatumbo la kuhara hapa.
Stoke wana2tishia amani. Mpaka dk tisini ndo ntarikava.
 
Dk 67 Arsenal wanafanya Sub Emanuel Thomas,Coquel na Theo wanatoka wanaingia Arshavin, Eduardo na Ramsey
 
Back
Top Bottom