Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Khe khe khe khe lol!!!! ndio chama langu hili siwezi kuhama kamwe kama yule Ngongo baada ya kuzidiwa na stress akahamia Manchester United kule nako stress zikaongezeka zaidi kuliko hata zilivyokuwa alipokuwa mpenzi wa GUNNERS l ol!!!...Kwani wewe ni wa chama kipi? Shetani wekundu au Liverpool?

BAK my dear kumbe unapenda stress eh?? Kumbe wewe muumini wa the gunners? Kwa leo ntakusapot,kila la heri the gunners.
 
Last edited by a moderator:
Ila wakuu Everton si timu ya kuidharau inacheza mpira.

Everton wametumia upande wa kushoto kupata magoli yao mawili na ndipo waliko wachezaji wawili Nacho Monreal na Mesut Ozil ambao wanacheza polepole sana.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wilshere ana bahati ni muingereza afu kamfanyia faulo muingereza mwenzake ingekuwa otherwise ingekuwa Red pale
 
Huu ndio wakati wa Ramsey na Giroud kuthibitisha ubora wao.

Hatuwezi kuwa tunasawazisha halafu ndio tunakuja kushinda game.

COYG!
 
Nililisema hili Mkuu, Everton wazuri sana na Lukaku kukataa kurudi Chelsea kumewapa motivation kubwa sana kama timu.


Ila wakuu Everton si timu ya kuidharau inacheza mpira.

Everton wametumia upande wa kushoto kupata magoli yao mawili na ndipo waliko wachezaji wawili Nacho Monreal na Mesut Ozil ambao wanacheza polepole sana.
 
BvvdAKLIYAAeQ78.jpg
 
  • 64'
    Arsenal getting plenty of pressure on Everton, but it has not translated into any real scoring chances. They pass it around well atop the area, but Giroud's pass is intercepted by Distin. Back in they come, but Ozil sends his cross over everyone and out of play. Arsenal still looking for their first shot on target.
 
I gotta declare interest, I am arsenal dude, but I think the old frenchman should go, tunahitaji ushindi tunahitaji trophies kuliko kipindi chochote sasa hivi.
 
  • 66'
    GIROUD! Fantastic turn from the Frenchman who gets on the end of a good passing move, but he scoops his shot just wide of the near post from the edge of the area. Much better from the Gunners, but still no breakthrough.
 
Podosky naye ndo hivyo anatuacha anarudi kwao..., kazi tunayo!!!!


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
  • 68'
    WHAT A CHANCE FOR GIROUD! A very fortunate bounce falls to the feet of the striker inside the area. He has a clean look at goal, but Howard does incredibly well to charge out and cut off the angle before making his first save of the night.
 
Back
Top Bottom