Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

BvvkGobIcAAD3PC.jpg
 
Mkuu utafiti jamaa wazuri sana, kama hawatakuwa na majeruhi ya kutisha na ya muda mrefu ni moja ya timu ambazo ni tishio kubwa kwa vingunge wa EPL.

Mkuu mbona wanataka kutuharibia hawa jamaa?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu utafiti jamaa wazuri sana, kama hawatakuwa na majeruhi ya kutisha na ya muda mrefu ni moja ya timu ambazo ni tishio kubwa kwa vingunge wa EPL.
BAK nakumbuka ata msimu ulioisha si ndio waliotuchafulia jina mwishoni kabisa hawa?
 
Last edited by a moderator:
Game tena ilikuwa ngumu "but the boys showed some great character"
Next?
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Siri ya ushindi



f5effb89-c5c8-469f-b73e-3de7a33b17d2-620x372.jpeg

First, unasikiliza kutoka kwa master.

Second ukifungwa unakuwa huchezi mbali na eneo la tukio, na Ramsey alikuwa at the right place at the right time golini kwa Everton.
44f4c24f-c23a-48e7-a8bb-48b8613991e0-620x372.jpeg

Aaron Ramsey akikimbia na mpira baada ya kuifungia timu yake goli la kwanza.

fcadd3f3-dbea-4271-a6ad-6648a4f4a9c3-620x308.jpeg

Olivier Giroud akiruka kufunga goli la kusawazisha kwa Arsenal na kuwanyamazisha kabisa wapenzi wa Everton ndani ya ulingo wa Goodison Park.

Its about been resilient.
 
Bora hata tumepata droo, huyu mzee Wenger alitaka tuanze kununa mapema kabisa mwanzoni mwa msimu!!!?


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Tulikuwa tunakuhabarisha wewe pamoja na kujua ulikuwa unaangalia mafichoni, si ndio zako hizo...halafu ushuke hapa kuja kufanya karamu kwenye mzoga kama walivyo wadudu Nzi...leo imekula kwako kwi kwi kwi kwi jaribu tena siku nyingine.

Kwa hiyo BAK na Balantanda nao ni wapiga domo ama?
 
Last edited by a moderator:
Utakuwa disappointed arifu..kesho Simba lazima tuwakalishe...

Angalieni msifungwe mechi 2 au 3 ndani ya miezi 3 ya LVG adjustment period, sababu mkishafungwa hizo mjue itakuwa very mbinde kurudi top 4. Arifu afu kuna beef gani kati ya LVG na kina Giggs/Welbeck? Naona LVG ameanza kulalamika maswala nyeti yanafichuliwa barazani bila ruhusa yake.
 
Back
Top Bottom