Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Snatching a point from this game..
Sio mbaya coz last season hizi ndo timu zilitupiga vibaya..
COYG..
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Its over .. .... .... .2 - 2 anyway wamebebwa na refa goli la offside limetunyima 2 points .... .... .... .
 
Nampa Per Mertesacker Man of the match.

Pamoja na kuja bila maandalizi ya kutosha amewezesha timu kujipanga na kutafuta magoli ya kusawazisha.

Inatia moyo kwa kweli.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Good mentality .. timu imecheza kama mabingwa watarajiwa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Sioni mpira nipeni matokeo

Full time: Everton 2-2 Arsenal

omg-shocked.gif
 
Olivier Giroud scored a stoppage time equaliser as Arsenal drew 2-2 at Everton and maintain their unbeaten start to the season.
 
Bulldog hivi di maria anakuja kwa miguu kutoka spain ?
mwezi huu nasikia yupo njiani au ndege imepata pancha ?
 
Last edited by a moderator:
Arifu ulikuwa umejibanza kwenye dimbwi la maji machafu wapi?!? 😂😂😂

.....wewe si umezoea domo 90mins bana, sie wengine tunafurahia kabumbu huku tunadodosa mara moja moja jf kama nilivyofanya 1st half....

Karibu tena Jumatano mjiudhi!


#MosKwito !
 
Back
Top Bottom