Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
Saa 7:30 usiku saa za bongo. Oooops 19:30 bana Duh!
Mnafungwa leo, everton wanaanza kuwaumbua

Mwenye line up ya leo atuwekee tafadhari
Szczesny, Debuchy, Mertesacker, Chambers, Monreal, Flamini, Oxlade-Chamberlain, Wilshere, Ramsey, Ozil, Sanchez.
Baada ya kuwaangalia Chelsea wakiongeza kapuni mwao magoli mawili na points tatu niko hapa nakodolea macho TV tayari kwa mchapo wetu na Everton. Ni mechi ngumu hii maana Everton ni wazuri na wana speed, I hope siku yangu leo haitaharibiwa. Ushindi mbele kwa mbele wa at least goli 2-0.
#InGunnersWeTrust