Uchezaji wa Giroud unakatisha tamaa. He's not interested, disjointed, unwilling kabisa. Jana kanibore vibaya mno.Arsenal needs a Top Striker..otherwise Sanchez na Ozil hawatakuwa na msaada wowote kwenye team..kumpigia pasi za mwisho Giroud ni sawa na Kumpa mgonjwa wa Tumbo dawa kutibu maumivu ya kichwa..
Uchezaji wa Giroud unakatisha tamaa. He's not interested, disjointed, unwilling kabisa. Jana kanibore vibaya mno.
Kuumia kwa Arteta kunaweza kumfanya Wenger aende sokoni, we need a solid DM and a striker. Otherwise CL mwama huu itakuwa ngumu.
[/QUOTE said:Kokoto kokoto, game ilikuwa tight sana imefanya hata tuwe na hamu zaidi ya kutazama marudiano..wasumbufu iila tutawafundisha adabu Emirates..
.....mmeanza ee?! Majani ya mpapai yeshachipua? Hahah....jana ilikuwa pre-season tu, subiria mziki wetu Imarati, thts y hukuniona na comment lolote kwa hizi 'friendly' matches...
#MosKwito !
Kokoto kokoto, game ilikuwa tight sana imefanya hata tuwe na hamu zaidi ya kutazama marudiano..wasumbufu iila tutawafundisha adabu Emirates..
Wilshere has two seasons to prove his worth otherwise he will need to be sold.
Wilshere has two seasons to prove his worth otherwise he will need to be sold.
Nilishawahi kukwambia Wilshere hana tofauti na Cleverley
NO. amemzidi Cleverly, sema tatizo la dogo hayupo katika kiwango cha kuchezea timu kubwa kama Arsenal kama vile Cleverly asivyo katika kiwango cha kuchezea Man Utd. Tatizo ninalomuona analo ni ana zile za anao anao hajui muda mwafaka wa kutoa pasi pili dogo ni nyoronyoro sana, akipewa upaja anaanguka chini.
Auzwe! Nishamchoka, na waingereza wote wa Arsenal ukitoa Chambers, wako wa kawaida tu.
Kwa kweli Hassan wenger itabidi asajili DM sio Wanyama tu hata Tiote yuko vizuri.