Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

nilisema tukiondoka na point itakuwa vizuri . Everton wameimprove sana chini ya Martinez
 
The guy was offside .... ..... .. stupid referee ... .
Prof lazima atabadili kipindi cha pili .... .... .... .
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
nilisema tukiondoka na point itakuwa vizuri . Everton wameimprove sana chini ya Martinez

Consistency!....
Everton is among top 5 kwa EPL misimu miwili au mitatu sasa...

Halafu, "mcheza kwao,....!"
Anyway, fingers crossed,
2nd half tunaweza rudi kivingine.


#MosKwito !
 
Huyu angewasaidia sana hahaaaa
 

Attachments

  • 1408814610685.jpg
    1408814610685.jpg
    9.2 KB · Views: 105
Kwani mpira ni dakika 45 au 90!? Ni kazi ngumu hasa ukiwa ugenini lakini hakuna linaloshindikana, makosa machache jamaa hawakufanya hiyana na hivyo kutake advantage ya makosa hayo. Kama kipindi cha pili watacheza kwa determination angalau ya kutoa draw basi hilo linawezekana kabisa, ila yakiwepo makosa mengine basi sitashangaa tukichapwa hata 4-0 na kunitilia doa siku yangu ambayo ilianza vizuri sana.


#InGunnersWeTrust.

mbona goli zinaongezeka? zitarudi kweli?
 
Bora Wenger angemleta Balotteli .. huyu Sanches itamchukua kitambo kuzoea mikiki ya EPL
 
Back
Top Bottom