Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,876
Mimi pia ni arsenal ila lazima niseme, kwa mechi ka ya jana, tulizidiwa. Lazima tujue kucheza na mechi za away vizuri. Le professeur naona kama hana tactics za mchezo. Yaani yeye anawaambia tu wachezaji nendeni mkacheze mpira bila kujali tunacheza na nani. Sidhani kama mwaka huu utakuwa wa mavuno kwa mbinu zake. Mbinu zake ni mbovu sana. Simkubali.
....Ushawahi fundisha hata #Chandimu mtaani wewe?
Haya, Against Basiktas Arsenal wamecheza 4-2-3-1,.....unadhani formation gani ingefaa zaidi na kwanini?