Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sanchez ndio alikiwa anapeleka mashambulizi mbele kule yeye anamtoa..Anawaacha Cazorla na Giroud
 
Iliobaki ni Wenger kuwaingiza Thomas Rosicky na Joel Campbell tutafute goli moja tu linatosha.
 
Yosso wa zamani wa Arsenal kapewa Yellow. Tuseme ukweli jamaa wana defend vizuri hawatupi nafasi ya kupumua hata kiduchu.
 
Arsenal wanapata nafasi ya kupiga mpira wa adhabu ndani ya Besiktas Cazooooorla aha no kipa kadaka!
 
79'

BES 0 - 0 ARS

Hahaha noo ni Second yellow card to Ramsey


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ramsey nje nilisema huyu refa ni kwa kumwangalia.

Arsenal watacheza wakiwa 10 tena ugenini.
 
We have to defend kwa dakika 10 na zingine kama nne hivi za nyongeza.
 
Nilisema tutapewa Red, haya Ramsey ndo hivyo tena atakosa second leg tuombe Arsenal waendelee katika group stage.
 
Tukae mkao wa kula refa anaweza kumtoa mchezaji wetu mwingine. Flamini, Monreal wajichunge
 
Ramsey nje nilisema huyu refa ni kwa kumwangalia.

Arsenal watacheza wakiwa 10 tena ugenini.
Ramsey kapewa red ya kujitakia...Karemba Moira, kaupoteza kijinga anamkwatua mtu kwa nyuma..Refa kamtendea haki yake
 
Back
Top Bottom