Arsene Chenga ameshawaja*****a...hayo maneno nayatunza, halafu tuje tuone utakavyoanza kumlalamikia...na kuponda aina ya wachezaji mlio nao...
BTW, naona hauifahamu Man Utd...ebu niambie ni msimu upi katika SAF's era ambapo Utd ilisajili hao wachezaji wengi kama goons unavyodai inafanya sasa? Season Utd ilipochukua 20th EPL title, ilimsajili RvP tu na kuchukua kombe...
Kwa vile sasa timu inapitisha fagio la chuma, wachezaji wapya wa kuongeza nguvu ni muhimu...hao watakuja kuimarisha wachezaji kutoka kwenye academy, ambayo toka imeanzishwa, kila msimu utoa mchezaji kwenda kwenye kikosi cha kwanza, again a world breaking thing...