Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Lengo halikuwa Serge Aurier bali lengo likuwa kumpata RB na tayari tushampata Mathew Derbuchy ambaye ni RB Mzuri na mwenye expirience na EPL so Aurier hana nafas tena hapo.

Mwaka 2016 Debuchy atahamia Man City na Aurier atakuja ziba pengo lake
 
Mkuu Wacha1 mambo vipi?

Arsenal wapo US na watakuwahuko kbla ya kurudi kwenye Emirates Cup.

Bado mipango ya usajili inafanyika ili kuamua ni yupi kati ya Sami Khedira, Lars Bender au William Carvalho asajiliwe.

Pia kuna suala la Vermaelen ambae anataka kwenda Man Utd lakini ni mpaka tutakapopata beki mwingine wa kuziba nafasi yake.

Halafu kuna kipa bado kuwa confirmed kwamba amesajiliwa na badki mwingine.

kuamua au kuexplore cheaper options kaka???

kwenye transfers tatizo huwa siyo Fee, tatizo linakuwaga kwenye Wages tu..
 
article-2704711-1FF12B4500000578-781_634x434.jpg

Prof Arsene Wenger the Arsenal Manager
talks at the Emirates Business Breakfast in New Jersey

Ozil, Podolski and Mertesacker will miss the Community Shield game against Mancs on August 10.

article-2704711-1F9FDED800000578-281_634x438.jpg

article-2704711-1F9FFE5100000578-933_634x498.jpg

Germany captain Per Mertesacker celebrates with the World Cup trophy

article-2704711-1F9F2C3300000578-14_634x483.jpg

The world cup trio will miss the start of the Premier League ... ...
they will report at Colney base on the 10th of August

BTW vijana watakuwa States kwa siku nne kabla ya kwenda kupiga kambi Austria kujiandaa na EPL .... .... ... ... ..Usikose kuangalia uhondo wa soka J1 watakapokwana na Henry's team.
 
kuamua au kuexplore cheaper options kaka???

kwenye transfers tatizo huwa siyo Fee, tatizo linakuwaga kwenye Wages tu..

Watch the space mkuu,

Arsenal wanatumia pesa ambayo ni ya kutoka kwenye akiba benki na si ya mtu yoyote yule.

Usisahau Arsenal imeamua kununua quality striker Alexis Sanchez kwa kiasi cha paundi milioni 35, na Debuchy kasajiliwa kwa paundi milioni 12.

Wenger amepewa bajeti ya kiasi cha paundi milioni 100 atumie kufanya usajili muhimu kwa maendeleo ya timu ili kuziba nafasi kadhaa.

Hivyo ukiangalia sana utaona kuna akiba imebakia na usisahau Chelsea wametulipa kiasi cha paundi milioni 5 kutokana na makato kwa Barcelona ya kumuuza mchezaji Cesc Fabregas.

Ila hata wewe ukiwa una pesa huwezi kuwa "extravagant" bila mpangilio maalum, je umekwishanifahamu hapo?
 
suala siyo kuwa na HELA nyingi ya usajili..coz katika transfer market ya sasa, Fee siyo tatizo, tatizo linakuja kwenye wages (personal terms)..

reports za spain zinasema you agreed a £25m deal kuhusu Khedira, lakini kilichokuja kuzingua ni high wage demands za mchezaji katika personal terms, Remy nadhani pia mlishindwana nae coz he refused to reduce his wage demands (80k-90k) but release clause yake ilikuwa ni £8m tu..

Mfano, ni kuwa liverpool bought lallana kwa amount ya £25-6m lakin analipwa around 90k per week, ila madrid have bought Kroos for about £24m tu, lakin anakula mshahara mkubwa sana..you can see there how wages demands works..

Kila team ina utaratibu wake..Arsenal (kwa mtazamo wangu) haina policy ya kulipa wachezaj zaid ya watatu mshahara wa 140k na kuendelea..siyo kama haiwez, lakin hyo syo policy ya Arsenal..ndo maana walimkazia Sagna (alikuwa anataka 100k), walimkazia clichy, Flamini kipind kile, RVP alikuwa anahitaji mshahara mkubwa ili Arsenal iweze kumcovince abak, but wenger offered him mshahara wa 130k..Manchester came in na mshahara mkubwa na hakujifikiria hata kusita kuondoka..

Khedira anataka mshahara mkubwa, na wenger hawez kumpa khedira 160k per week, LABDA AKUBALI KUPUNGUZA, ndo maana macho yake sahiv kayaelekeza kwa Calvarho, japokuwa atauzwa bei, lakin wages zake zitakuwa za kawaida, na ni potential signing (he's young)..

Suala la KUAMUA tu, nani aje ni la team kama RMA na BARCA kaka..

Kwa kiasi ambacho Sanchez aliuzwa na Barca ni bonge la BARGAIN kwa transfer market ya sasa, ni steal kwa kile kiasi..Sanchez is an established WC player..kwa soko la sasa ulitegemea awe kwenye £40-45m..kama tu kina shaw na lallana wananunuliwa kwa zaid ya £20m, Monaco wanabid £45m kwa Gaitan wa Benifica..Sanchez hakuwa wa kuuzwa kwa bei ile, ndo maana wenger went in very fast..coz option yake ya kwanza we all know ilikuwa ni Griezmann, lakin baada ya kuskia mtu kama SANCHEZ anapatikana kwa kiasi kile, hakujiuliza..ni bonge ya steal..
 
Mkuu, cha msingi ni kwamba Arsenal hawakopi tena pesa benki ila kuna wadhamini wa Puma ambao wanafadhili uvaaji jezi na pia kuna mapato yanayotokana na mauzo ya jezi na mapato ya tiketi na ada ya uanachama na hii ni kwa wapenzi wa Arsenal duniani kote.

Hivyo Arsenal hawashindwi kumlipa Khedira hizo 150,000 kwa wiki ila kuna masuala ya "risks" za kuangalia kwamba Khedira amekuwa na tatizo kama la Vasiriki Diaby ambae kutwa yupo majeruhi na hivyo kushindwa kucheza kwa program inayopangwa.

Wachezaji huwa hawanunuliwi tu kwa vile wanaona kuna pesa sehemu. Huyo Remy unaemsema unafahamu atalipwa kiasigani na Liverpool?

Pia Liverpool wamekimbilia kumsajili Remy haraka kwa sababu Loic Remy ana kasi na mbio na wanataka aweze kuwa sambamba. Lakini itabidi afanye mazoezi mapema ya kuweza kucheza kule mbele sawia timing ya ukimbiaji wa wenzake akina Sturidge, Raheem Sterling na Coutinho, ukizingatia msimu ulopita akikuwa offside mara 32.

Na Liverpool pale unaweza ukaja kushangaa Remy anaanza akiwa mchezaji wa akiba kila mara maana Sturidge ndie atakaekuwa leading striker.

Hizo timu za RMA na Barcelona bado zikitaka kufanya usajili tena ule mkubwa kama RMA wa huyo Rodriguesz, inabidi waende benki kuongeza mkopo maana hizo timu zinajiendesha kutokana na mikopo ya benki ingawa nazo zinapata mapato kutokana na kuuza jezi na kadhalika.
 
Wacha uongo wewe. Kwanza tunafahamu wanaopandisha bei za wachezaji ni agents, pili swala la mshahara ni makubaliano kati ya mchezaji na club i.e. nani analipa kodi etc. Ukitilia maanani kwamba unapopata kiwango cha juu unalipa (ie above £32000) 40% etc. Thats why wachezaji wengi wana-operate-on as companies.

Mambo ya Spain waachie wenyewe TV money zinachukuliwa na timu mbili tu, yaani ni discrimination ya hali ya juu although nafahamu wako under scrutiny hivi sasa na fair play imeanza kuwaumiza, ndio sababu timu kama Mancs hivi sasa wamekwama kununua wachezaji wengi kwa sababu lazima waishi on their means.
Prof hawezi kununua mchezaji ambaye ata-disrupt what has already been achieved (mfano Cesc hakuweza kuchukuliwa kwa sababu hiyo). Unapotaka kumlipa Khedira 200 thousand a week wakati yeye siyo mchezaji nyota kumzidi Ramsey unatafuta chokochoko. We have good base na mchezaji ambaye yupo kwenye 30+ hawezi kulipwa mshahara mkubwa kwa sababu muda wake wa kucheza unakaribia ukingoni. Gunners wanalipa wachezaji kutokana na kiwango walichonacho .... ..... ... Judas 8 years on the doctor's table one season amecheza vizuri alitaka 10 million a year ... .. are you joking? Good riddance 7up and we know he is not happy there. Ni wachezaji wachache sana ambao hawako happy Gunners. Wapo wachezaji Gunners wanaolipwa top money ukiangalia ni quality. wanaoweza kutapanya pesa ni Chelsick maana pesa za wizi hazina mwenyewe.

BTW we do not need khedira kama vile ni udi na uvumba we have few quality, we want to add top top quality if possible sio mediocre ones.

Gunners wanawalipa wachezaji on time na sio kuwakopa kama Spain. The bubble will bust soon watch this space as Richard told you the only club which is run prudently.

COYG
 
Remy analipwa 60k sahv na Liverpool..alikubali pay cutt ya 20k..coz he was on 80k per week qpr..

mapato ya pesa unayoyazungumzia yapo kwenye kila Team kubwa duniani..vyanzo vingi vya mapato vinafanana..

Na madrid, huwa wanagenerate na kulipa ada waliyoitumia katika usajili kwa kutumia mauzo ya Jezi ya mchezaji husika (bale, ronaldo, kaka, Zidane, de lima) etc..

Na HUWEZI kufanya big signing ya 75m, 80m, 85m, 65m..bila kukopa sehemu nyingine..na ndo kitu ambacho Arsenal, Liverpool, dortmund, ATM, Juve, Milan etc HAWAWEZI..

We kama shabiki wa Arsenal, itabid uwe unaelewa policy ya Team yako kuhusu wages, regardless kwamba una madeni au HUNA..

Yap, Arsene wenger anaweza akawa kazingatia hivyo vitu vya umri wa khedira + he's injury prone..but he knew from the begning profile nzima ya Khedira..na kama Khedira angetaka below 100k tungekuwa tunaongea mengine hapa..lakini kilimchomtoa wenger kwa khedira ni Big wages demands, (every english outlets reported that), the same kwa Remy..

Policies za Club zinatofautiana, thats why you can see chelsea are paying a lot of money kumnunua mchezaji wa miaka 29 luis philipe, Kitu ambacho wenger au BR wasingekifanya hata kidogo..au paying above 23m kwa negredo na umri alionao, Arsenal wasingefanya hivyo..

Regardless una madeni au HUNA, kila team ina transfer market policies zake..kila club ina wages policies zake..

Hizi club zetu zingekuwa zinafanya kile mashabiki tunachokitaka au kulingana na dellusions zetu kuhusu USAJILI zingekuwa zishafilisika muda sana.
 
hahahah!!!!

Kuna stuation ambapo Player anaweza akakubaliana personal terms na Club inayomtaka, lakini mwajiri wake akapiga chini bid ya club husika (konoplyanka, Moreno, Higuain, Sanchez (juve), Etc..na kuna stuation ambapo clubs zinaweza zikakubaliana deal lakini mchezaji akazingua katika personal terms (khedira, Reges (inter), Willian (spurs), soguardson (liver) etc)

Kwani Agents na Club inayom-miliki mchezaji, nani anayepata faida kubwa mchezaji akiuzwa??
 
Remy analipwa 60k sahv na Liverpool..alikubali pay cutt ya 20k..coz he was on 80k per week qpr..

mapato ya pesa unayoyazungumzia yapo kwenye kila Team kubwa duniani..vyanzo vingi vya mapato vinafanana..

Na madrid, huwa wanagenerate na kulipa ada waliyoitumia katika usajili kwa kutumia mauzo ya Jezi ya mchezaji husika (bale, ronaldo, kaka, Zidane, de lima) etc..

Na HUWEZI kufanya big signing ya 75m, 80m, 85m, 65m..bila kukopa sehemu nyingine..na ndo kitu ambacho Arsenal, Liverpool, dortmund, ATM, Juve, Milan etc HAWAWEZI..

We kama shabiki wa Arsenal, itabid uwe unaelewa policy ya Team yako kuhusu wages, regardless kwamba una madeni au HUNA..

Yap, Arsene wenger anaweza akawa kazingatia hivyo vitu vya umri wa khedira + he's injury prone..but he knew from the begning profile nzima ya Khedira..na kama Khedira angetaka below 100k tungekuwa tunaongea mengine hapa..lakini kilimchomtoa wenger kwa khedira ni Big wages demands, (every english outlets reported that), the same kwa Remy..

Policies za Club zinatofautiana, thats why you can see chelsea are paying a lot of money kumnunua mchezaji wa miaka 29 luis philipe, Kitu ambacho wenger au BR wasingekifanya hata kidogo..au paying above 23m kwa negredo na umri alionao, Arsenal wasingefanya hivyo..

Regardless una madeni au HUNA, kila team ina transfer market policies zake..kila club ina wages policies zake..

Hizi club zetu zingekuwa zinafanya kile mashabiki tunachokitaka au kulingana na dellusions zetu kuhusu USAJILI zingekuwa zishafilisika muda sana.

Mkuu, nafikiri hujasoma sana michango yangu na kuna moja nimeongelea vizuri juu ya policy ya Arsenal kutumia pesa yake, kutafuta vipaji na kuvikuuza wakiwemo wachezaji wengi tu kuanzia Vieira hadi Fabregas ambae ameshindwa kuchezea tena Arsenal. Na unapoona Arsenal wananunua mchezaji basi inakuwa ni jambo la muhimu sana na ndio maana mwaka jana wakalipa ile milioni 42 kwa Ozila.

Pili, hizi timu ulizozitaja zina madeni makubwa sana na hio timu ya Borussia Dortumund hupaswi kuiweka kwenye kundi hilo kwani hii timu ina mfumo unaolingana na ule wa Arsenal.

Mfumo wa uendeshaji wa timu au Business Model kwa Arsenal na Borussia Dortmnd ndio mfumo wa mpya wa kuendelza timu na kuikuuza kimapato ambao kuna baadhi ya timu zimeanza kuuiga.

Borussia Dortmund iliwahi kuwa na matatizo makubwa ya "financial mismanagement" na deni kubwa mpaka wakaja kuuza uwanja wao wa Westfalenstadion, na ni mwaka 2003 waliposhindwa kucheza "champions league" ndipo wakakopeshwa Euro milioni 2 na Bayern Munich.

Mwaka 2005 wakawa ni klabu iliyofilisika mpaka ikabidi wachezaji wachukue "paycut" na kwa kukatwa asilimia 20 ya mishahara yao. Mpaka sasa timu hiyo inacheza kwenye uwanja wake wa zamani wa Westfalenstadion ili kulipa madeni na uwanja huo ambao ni mkubwa nchini Ujerumani unaingiza watu zaidi ya 80,000.

Lakini mafanikio ya timu hiyo tuliyoyaona hivi karibuni ni kuwa ni timu ambayo inaendeshwa kwa ufanisi na wapenzi wa timi hiyo ni zaidi ya 100,000 na wote wana ubia na timu hiyo.

Hivi na wewe unafahamu kwamba wachezaji wa Barcelona mwaka 2010 waligoma kucheza kwa kukosa kulipwa mishahara?

Hiyo ni kwasababu "business plan" haikwenda uzuri kiasi cha kufanya timu iwe inaingiza pesa na ndio maana mwaka uleule wakamuuza Yaya Toure kwa Manchester City kwa Euro milioni 20.

Na ni sababu hizohizo mwaka huu wamemuuza Fabregas kwa Chelsea na kupata paundi milioni 35 ili wamuondoe kwenye "wage bill" kubwa na ni kwa sababu hiohio Pepe Guadiola aliamua kuondoka Barcelona kutokana na kushindikana kusikilizwa mahitaji yake ya bajeti ya usajili kwamba hakukuwa na pesa ya kutosha.

Haya mambo sisi wapenzi wa mpira tunatakiwa tuwe tunayajadili kwa kutumia vigezo na mifano na sio kwa kudhanidhani.

Tabia ya kupenda kuishi kwa kukopa si tabia nzuri maana hata yule mzee wa Manchester Utd amefariki na inasemwa kwamba ameacha madeni ambayo ni wanawe wanakuwa responsible nayo.
 
umetaja business models za Arsenal na Dortmund, lakin nashangaa umeiacha Liverpool hii Ya FSG, Benifica, Shakhtar donestk etc..

Kwenye suala la Barca na kina Febregas & Sanchez, nadhan waliziforce zile moves ili kugenerate fee ya suarez, Racktic, RB na CB, sidhan kama waliuza kulingana na matatizo ya kifedha unayoyazungumzia..na lazima watoe wachezaji mzigo ili kuleta faces mpya coz ban yao inaweza ikaanza next summer, thats why wamewatoa Kina Cesc, Sanchez, then kina Tello, Serg roberto Mascherano na wengine wanafata..hizo ni plan tu za Club..they bought suarez for £75m, racktic around £20, Mathieau (valencia) pia kawakost hela nyingi, mia na kitu ishafika, na bado wanamuhitaji marqinho au hummels, which will cost them pounds..thats why they're affloding surplus players now.

I thought guardiola wanted Alves, Villa, Cesc, Pedro, And some others OUT, ili kugenerate watoto wake kina Alcantara, Cuenca, tello, robert, Montoya..Ambapo rosell aligomea huo upuuzi, Na if i remember collectly Pep alimkataa Javi Martnez kipind kile yupo bilbao (Jamaa akaenda Bayern) na you can see mda mdogo wa kucheza anaopata Javi chini ya Pep pale Bayern sahiv...Pep mwenyewe alikuwa muoga..ile power ya Barca ilikuwa ishaanza kupungua..ndo maana akakimbia..And RMA, ManUTd and even you Arsenal disposed his weaknes kwenye UCL iliyopita.

Sijui kwanini, Lakini huwa inakuwaga ni NGUMU sana Clubs zenye uwekezaji mkubwa kama RMA, ManUTD, BARCA na BAYERN kutokuwa na madeni.
 
source ya deni la man utd ni hela alizokopa glazer[rip] kununulia timu ndio maana man utd fans wanamchukia huyu marehemu!! bila glazer kukopa hela ili ainunue hii timu man utd isingekuwa na deni...
 
Back
Top Bottom