Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mathieu-Debuchy-2014-Arsenal-FC-Wallpaper.jpg
 
Wadau naomba majibu ya kujiridhisha kwa nini Wenger hamthamini kabisa JOEL CAMPBELL?
 
TUMEMRUDISHA ILI MSIMU UJAO TUVUNJE REKODI KUWAFUNGENI 10-0.:A S wink:

hata nyie mlisajili kijana chipukizi sana FLAMINI..:A S-eek:

teh teh teh mmeanza kurudisha vikongwe kuokoa jahazi!!? Kweli simba akikosa nyama ni majanga.
 
Count down to Community Shield/EPL.......... Dozi Dozi Dozi, Dozi
 
TUMEMRUDISHA ILI MSIMU UJAO TUVUNJE REKODI KUWAFUNGENI 10-0.:A S wink:

hata nyie mlisajili kijana chipukizi sana FLAMINI..:A S-eek:

By then Flamin anarudi alikuwa na miaka 29, Vipi kuhusu Didier 36!! na hiyo ni ya kwenye Pasport bado sasa miaka yake asilia duuuuhhh!!
 
Wadau naomba majibu ya kujiridhisha kwa nini Wenger hamthamini kabisa JOEL CAMPBELL?

Umejuaje kuwa Wenger hamthamini Joel Campbell? Hakuna kocha anayemnunua mchezaji bila kumuona umuhimu/thamani yake katika timu. Asingemthamini au kumuona hafit katika Arsenal angeshakuwa kauzwa zamani.
 
Salama wakuu?..

Kimyaa...

Naona Emirates Cup inaendelea...

Mechi ya Arsenal na Benfica ni Half Time sasa..

Arsenal 4-0 Benfica

Wafungaji ni Yaya Sanogo (Hat trick) na Joel Campbell
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Back
Top Bottom