Richard
Platinum Member
- Oct 23, 2006
- 16,636
- 25,617
Huu ni mwanzo tu wa usajili kwa Arsenal na kesho Debuchy nae atatangazwa kuwa mchezaji wa Arsenal ambae atagharimu kama milioni 10 hivi.
Baada ya hapo wanatafutwa mlinzi kiungo na golikipa.
Thomas Vermaelen ameambiwa hawezi kwenda kokote endapo hatapatikana beki mwingine wa kuziba nafasi yake.
COYG!
Baada ya hapo wanatafutwa mlinzi kiungo na golikipa.
Thomas Vermaelen ameambiwa hawezi kwenda kokote endapo hatapatikana beki mwingine wa kuziba nafasi yake.
COYG!