Kila mwaka kabla ya msimu kuanza tunasikia pundits wakisema Arsenal wataishia nje ya top 4, Arsenal hawatabeba kombe lolote,Arsenal this Arsenal that na kila msimu Arsenal tunawa-proove wrong.Michael Owen kawa wa kwanza mwaka huu kufungua mdomo wake juu ya Arsenal anategemea itamaliza ligi ikiwa nje ya top 4. Hivi huyu jamaa alikuwa wapi mwanzoni mwa msimu uliopita si angetutabiria kuwa Man Utd ingeishia nafasi ya 7 vile vile angetutabiria jinsi timu yake kipenzi Liverpool na mshikaji wake SG wangevyoukosa ubingwa hivi hivi.
Arsenal won't even finish fourth: Michael Owen doesn't rate Gunners' title bid | Football | Sport | Daily Express
na kwa miaka tisa mfululizo walikuwa sahihi....last EPL title lini vile?? still counting.
na kwa miaka tisa mfululizo walikuwa sahihi....last EPL title lini vile?? still counting.
Acha kuchekesha umma, kila mwaka wanasema Arsenal wata drop out of top 4 haijatokea kuwa kweli.Cha ajabu tumeona Liverpool na Man United wakikosa UCL. Summer iliyopita walisema Arsenal hawatabeba kombe lolote FA Cup limetua Emirates stadium. Juu ya Epl is matter of time within misimu 2 tutakuwa champions
hawana shida na kombe la ligi, FA inawatosha ha ha ha ha Ozil+Per+Podolski = magoli mangapi?
Andre Schurrle = magoli 3.
Mtu mmoja wa CHELSEA FC kawashinda wachezaji 3 wa Arsenal Fc..
:A S-eek:
Kila mwaka kabla ya msimu kuanza tunasikia pundits wakisema Arsenal wataishia nje ya top 4, Arsenal hawatabeba kombe lolote,Arsenal this Arsenal that na kila msimu Arsenal tunawa-proove wrong.Michael Owen kawa wa kwanza mwaka huu kufungua mdomo wake juu ya Arsenal anategemea itamaliza ligi ikiwa nje ya top 4. Hivi huyu jamaa alikuwa wapi mwanzoni mwa msimu uliopita si angetutabiria kuwa Man Utd ingeishia nafasi ya 7 vile vile angetutabiria jinsi timu yake kipenzi Liverpool na mshikaji wake SG wangevyoukosa ubingwa hivi hivi.
Arsenal won't even finish fourth: Michael Owen doesn't rate Gunners' title bid | Football | Sport | Daily Express
oooooh sorry mkuu....kumbe unazungumzia 'trophy yenu ya 4th place' ha ha hio hamjawahi kukosa kweli walikuwa wanachemka....mimi nilifikiri ni trophy tulizozoea sisi yaani EPL TITLE na EUFA CHAMPIONS LEAGUE......tangu mara ya mwisho mchukue EPL man utd kashachukua mara nne sijui hata sikumbuki na CL moja.....wacha nichekeshe umma!!! 10yrs and still counting
Watu na Episode zenu!! Ilikuwa miaka kadhaa bila kikombe chochote, sasa mmeanza na episode nyingine ya Miaka kadhaa bila EPL Haya bhana endeleen kutupangia vikombe vya kuchukua.
View attachment 171572
.......#MburuKenge tu hao,
Joto ya jiwe ikianza watapotea kama kawaida yao....
#WatazoeaTu , acha movie iendelee....
#MosKwito !