![]()
Number hiyo alikuwa nayo Monreal ambaye chacha kachukua 18.
Muchukuege ubingwa bas, sio kilasiku kelele tu.
Hii staili kama vile Arsenal walishaivaa kama sikosei enzi za Invincibles tofauti ni sponsors. Nevertheless bado uzi unaonekana mzuri, Ignore the attachment.
Wadau vipi deal la Khedira tumefanikiwa kumsainisha au?
dili limesimama kwa muda coz anataka £200,000 kwa wik wakat asnal wapo tayari kumpa £140,000m
Daaah uyu mzee c afumbe macho tuingie kweny record tu
kwa maoni yangu ningependa aje lars bender coz jamaa ni mkata umeme asilia (holding midiflder) tofauti na khedira ambaye ni box to box midiflder
![]()
Nachikia kuna mchezaji moja alinyatia sherehe anaitwa Shule
...... ...... .... alikimbia kutoka kwenye cowshed .... .. .