Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kinachoniumiza kuhusu timu yetu ni Mr. Wenger kushindwa kureact faster, i mean negotiations zake za usajili wa mchezaji huwa ni za mda mrefu hadi unaskia mchezaji katua timu pinzani! Kwanini asiwe kama timu zingine ambazo zikimtaka mchezaji ndani ya saa kadhaa zinamsajili! Hapa nampa Big Up Maurinho na Ferguson. Mfano wa majembe tuliyoyapoteza kwa njia hii ni Juan Mata, Eden Hazard, Bernard, Cabaye n.k. Babu kipindi hiki anatakiwa achange bhana.

[h=1]Arsene Wenger says he has no interest in Mario Balotelli as Milan try to offload striker[/h]
  • Arsenal boss denies any links to Italian forward
  • AC Milan looking to sell Balotelli to reduce wage bill
  • Gunners have sold Carlos Vela clause and are looking for a striker
 
“We cannot believe absolutely everything that is on the internet or in the papers. Sometimes it is created by agents or by press who need news. But in this case, it’s not true.”

article-2669191-1F1C362100000578-776_634x552.jpg

Ready to go - A relaxed-looking Walcott comes off

the final green and heads to his car

article-2669191-1F1C39D300000578-484_634x375.jpg

In the rough: Walcott completed the round with a friend
on the Algarve course near where he is staying

article-2669191-1F1C39A000000578-742_634x426.jpg

article-2669191-1F1C3A5500000578-66_634x419.jpg

Over there: The Arsenal and England striker appears
to have lost his ball during the round

article-2669191-1F1C38B200000578-883_634x913.jpg

  • article-2669191-1F1C368A00000578-678_634x459.jpg

article-2669191-1F1C3A4700000578-431_634x464.jpg

Road to recovery - The Arsenal striker is working
his way back to fitness after a serious knee injury

Theo yeye anakula kuku tu chacha... .... .. ...
 
[h=1]Arsene Wenger says he has no interest in Mario Balotelli as Milan try to offload striker[/h]
  • Arsenal boss denies any links to Italian forward
  • AC Milan looking to sell Balotelli to reduce wage bill
  • Gunners have sold Carlos Vela clause and are looking for a striker

Thanks For The Info.
 
off - season Emirates Cup

Sat 2nd August

Valencia vs Monaco 16:00
Arsenal vs Benfica 18:00

Sun 3rd August

Benfica vs Valencia 16:00
Arsenal vs Monaco 18:00

saa ni kwa majira ya Africa Mashariki
 
Hahahahahah lol!!!! nimecheka hapo kwenye rangi nyekundu lol!!!! Ahsante sana Mkuu Mbu kwa hii taarifa. Sikuwahi kuwaona Belgium wakicheza kwa taarifa hii nitafuatilia kwa karibu mechi zao zote, hopefully watakuwemo katika 16 bora. Kilichonifurahisha hadi sana katika World Cup hii ni kiwango cha uchezaji ambacho ni kikubwa ukilinganisha na mechi za awali kule South Africa 2010.

CC: Mkuu Nzi

.....kaka BAK #Belgium umewaona? Hawavumi lakini wamo.....

#MosKwito !
 
Last edited by a moderator:
Nimewaona Mkuu Mbu, wana team nzuri sana pamoja na kuwa hawana majina makubwa (na Benteke angekuwa fit safu yao ya mashambulizi ingetisha sana), kama siyo Tim Howard basi jana wangevuna kikapu cha magoli. Lukaku pia uchezaji wake wa jana umempa nafasi ya kocha kumuanzisha dhidi ya Argentina, nitashangaa sana akianza kwenye bench na itakuwa ni makosa makubwa sana kwenye mechi muhimu kama hiyo.

Tim Howard's special night ends in disappointment - CNN.com

.....kaka BAK #Belgium umewaona? Hawavumi lakini wamo.....

#MosKwito !
 
Last edited by a moderator:
zp_Puma-Boards-17-140701PAFC_7477.jpg

zp_Puma-Boards-21-140701PAFC_9773.jpg

zp_Puma-Boards-22-140701PAFC_5792.jpg

zp_Fraser-Davis-2-140701PAFC_747.jpg

Baada ya kumaliza ukarabati ndio kwanza tunaanza kuangalia
watandaza kabumbu la uhakika ... ...... ..... ... .. ..
 
nasikia debuchy ameshacomfirm deal na gunnerz wenye more updatez jamani

Mkuu Arsenal wapo busy na wanafanya mazungumzo na wawakilishi wa wachezaji hao wawili Mathieu Debuchy na Alexis Sanchez.

Debuchy dili lake limekamilika kinachongojewa ni ku-confirm tu kwenye media. Hata katika akaunti yake ya twitter ameondoa details za Newcastle.

Debuchy ana uzoefu na PL na ndio sababu kubwa ya Asenal kuforce issue hio.

Suala la Alexis Sanchez linakinzana na suala la Luis Suarez ambae Liverpool wanataka at least 70 milioni lakini Barcelona wanataka wamjumuishe na Alexis Sanchez ili iwe rahisi kulipa angalau 63 milioni.

Lakini Alexis Sanchez hataki kwenda Liverpool na hapo ndipo Arsenal wametoa karibu milioni 19 paundi na Barcelona wanataka milioni 25.

Lakini suala lote linategemea kuuzwa kwa Sanchez kwenda Arsenal na Barcelona watumie hizo 25 milioni kuongezea ifikie 70 milioni wanayotaka Liverpool.

Hivyo kuna kila dalili ya wiki ijayo kusikia madela yanakuwa confirmed na Arsenal ukizingatia kwamba France na Chile walikwishatoka kwenye WC.

Habari zingine zitakuwa kidogokidogo na baada ya kupotea kwa muda, Richard anarudi rasmi weekend hii hapa jukwaani.
 
Wakuu mpo?

Ama kwa hakika kuna patashika na mchana wa leo Arsenal wameongeza dau kwa Alexis Sanchez na limefikia milioni 32 paundi.

Barcelona wamekubali dili hilo pamoja na mpango mzima wa malipo.

Counter attack hiyo imefanywa na Arsenal baada ya timu za Man City, Man Utd na Chelsea pamoja na Liverpool kuanza kuweka madau yao kwa mchezaji huyo.

Lakini Sanchez na wawakilishi wake wameona sense na kukubali hiyo offer ambayo ni kubwa kabisa kutokea kwa Arsenal kusajili mshambulaji baada ya ile milioni 42 waliyotoa kwa kiungo Mesut Ozil.

Wenger bado yupo Brazil mpaka Jumapili ijayo ndipo arudi London na Ivan Gazidis na Dick Law pamoja na wataalam wengine wa negotiations wapo Brazil na London kumalizia mambo.

Kama mambo yatakwenda ilivyopangwa, tarehe 10 mwezi huu Arsenal watatangaza aina mpya ya uzi wa Puma ambao umebeba deal la paundi milioni 150 ambazo ni pesa nyingi sana kuweza kutolewa kwa timu ya PL kama ya Arsenal. Pia wachezaji wa timu hio watapiga picha ya pamoja kuonyesha kikosi kamili na huenda wachezaji wapya wakawemo.

Dau hili la ufadhili linazidi paundi milioni 30 ambazo NIKE walikubaliana na Manchester Utd miaka kadhaa ilopita.

Hebu tuangalie recodi ya Sanchez akiwa Barca.

432170.jpg

Meneja Arsene Wenger amewekea umuhimu usajili wa Alexis Sanchez.
 
mkuu amini kitu kilichotangazwa ktk Arsenal.com sio ktk Twitter, Daily mail,Daily Star ,goal.com,etc . kwa kifupi ukisikia hii trade imekuwa confirmed na Arsenal wenyewe ndo uamini ama sivyo ni speculation zisizo na kichwa wala miguu
 
Back
Top Bottom