MpigaFilimbi
JF-Expert Member
- Apr 30, 2008
- 1,169
- 188
This Eduardo guy is sometimes useless!!
This Eduardo guy is sometimes useless!!
Mtaongea mengi mwaka huu.Kadi nyekundu!!....lol!!!..Mwendo mdundo
The ref was on spot.. huwezi kusema kuwa hakuona. Fair play ni muhimu lakini kosa lilifanyika mbele ya macho ya referee.
kwa hiyo wakuu mnataka kusema sio foul ile?! ok subiri siku itokee kwenu msije lialia hapa....nafikiri Kweli yuko honest.
Kutokana na system tunayocheza Arshavin bila Bendtner ama RVP anaonekana useless, kwa vile inabidi acheze kama target man kitu ambacho ni vigumu kwake, huyu ana-fiti zaidi kucheza free roll behind strikers. Partneship ya Eduardo na Arshavin just will never work, ndio maana tunalilia (targetman) pale mbeleHuyo na mwenzake Arshavin mimi nawaona useless tu kipindi hiki(cha msimu)
Refa alikuwepo pale pale,mbona hakupiga kipyenga bana
kwa hiyo wakuu mnataka kusema sio foul ile?! ok subiri siku itokee kwenu msije lialia hapa....nafikiri Kweli yuko honest.
Try to be honest, hilo bao la pili refa kachemka....Gallas alistahili kadi nyekundu kwa hiyo foul....na Arsenal hata bila aibu hawakutaka kutoa mpira nje...no fair play there!
Refa kutokupiga kipenga haimaanishi kwamba haikuwa faulo, labda hakuona (which I doubt) au kaamua kubeba Arse....na Arse kwa sababu walikuwa desperate hawakutaka kutoa fair play! Hiyo ndio turning point ya mechi hii maana yule jamaa (Mark Davies) ndio alikuwa mchezaji wao mzuri kwa mechi ya leo, kwa hiyo alivyotoka Arse wakapata nafasi na kushinda. Huwezi kuangalia haya mambo kwa sababu uko very biased!
I said it...Mpiga Filimbi umenikubali???,kama Sheikh Yahya vile
Refa kutokupiga kipenga haimaanishi kwamba haikuwa faulo, labda hakuona (which I doubt) au kaamua kubeba Arse....na Arse kwa sababu walikuwa desperate hawakutaka kutoa fair play! Hiyo ndio turning point ya mechi hii maana yule jamaa (Mark Davies) ndio alikuwa mchezaji wao mzuri kwa mechi ya leo, kwa hiyo alivyotoka Arse wakapata nafasi na kushinda. Huwezi kuangalia haya mambo kwa sababu uko very biased!
Hahahahaha! Hongereni sana kwa ushindi....endeleeni kupasha joto hapo juu kabla ya wenye kiti hatujarudi kutoka likizo.😉...duuuuh, yaaani mkuu bado hutaki tuu? haya basi 3-2!... sie haooo tunawasha indicator... byeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
Try to be honest, hilo bao la pili refa kachemka....Gallas alistahili kadi nyekundu kwa hiyo foul....na Arsenal hata bila aibu hawakutaka kutoa mpira nje...no fair play there!