Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ndiyo ubaya wa hizi mechi za back to back. Jamaa wanakuwa bado na usongo cha kipigo cha mchezo waliopita. Nilikuwa na wasiwasi kwamba they are going to jump on us with a quick goal or two na wasiwasi wangu umekuwa kweli. Na hatuna rekodi nzuri ya kupanda mlima mrefu kiasi hiki. Vijana wajitahidi angalau tuambulie hata kapoint kamoja. 🙁
 
Kaka Tunashinda leo,tena ikiwezekana 4-2
 
[ame="http://http://www.youtube.com/watch?v=smymhidGX-g&feature=related"]http://http://www.youtube.com/watch?v=smymhidGX-g&feature=related[/ame]
 
Kaka Tunashinda leo,tena ikiwezekana 4-2
Bala dua lako na likubaliwe, ila Wenger lini atasoma? tunahitaji cover imara kila idara hivi sasa kikosi chetu ni finyu, hatuna cover idara ya ushambuliaji na akiumia Fabregas ama kukosekana kwa Song tunayumba pale kati, akiumia Gallas ama Vermaellean ndio tumekwisha kabisa.
 
Try to be honest, hilo bao la pili refa kachemka....Gallas alistahili kadi nyekundu kwa hiyo foul....na Arsenal hata bila aibu hawakutaka kutoa mpira nje...no fair play there!
 
Mkuu kweli Gallas amefanya faulu lakini nakataa kuwa ni kadi nyekundu, pengine Bolton walinyimwa freekick lakini ndio mpira, wakati mwengine decision inaenda upande wako wakati mwengine unanyimwa.
 
Try to be honest, hilo bao la pili refa kachemka....Gallas alistahili kadi nyekundu kwa hiyo foul....na Arsenal hata bila aibu hawakutaka kutoa mpira nje...no fair play there!

Mtaongea mengi mwaka huu.Kadi nyekundu!!....lol!!!..Mwendo mdundo
 
Try to be honest, hilo bao la pili refa kachemka....Gallas alistahili kadi nyekundu kwa hiyo foul....na Arsenal hata bila aibu hawakutaka kutoa mpira nje...no fair play there!

The ref was on spot.. huwezi kusema kuwa hakuona. Fair play ni muhimu lakini kosa lilifanyika mbele ya macho ya referee.
 
Back
Top Bottom