Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

wakuu mlifaidi sana game,mie kazi zilinibana semanilikuwa nakamata updates hivyo hivyo nashukuru sana vijana wameonesha wako matured zamani ngoma ingelala pale.

ushindi mkubwa sana mie mtanisamehe naomba kesho cameroon wafungwe hili SONG arudi kutusaidia kumalizia kazi nzito iliokuwa mbeleni.

its good to be a gooner.

Hapana mkuu Cameroon ni lazima washinde cover ya Song itapatikana tu poa shaka.
 
ha ha ha sawa mkuu,update ua injury ya diaby ikoje kwani? nasikia aliumia.

Alikuwa na calf strain kutoka mechi ya kwanza tulipowabamiza 2 bila. inamkorofisha kidogo kesho watafanya scan tutajua lakini hawa vijana wana stamina nafikiri anaweza kuwa out kwa siku kadhaa.

Diaby has a calf strain, from a kick he got at Bolton on his calf. He went into the game with a stiff calf already and he didn't survive. I don't know how long he will be out. You have to check with him because you see more on the scan, so we have to be cautious.
 
I said it...Mpiga Filimbi umenikubali???,kama Sheikh Yahya vile

Mkuu naona utabiri wako ulikuwa very accurate pamoja na kuwa tulikuwa nyuma lakini hukubadili mawazo. Sasa tutabirie upinzani watachukua viti vingapi vya bunge mwaka huu...LOL! Vijana sasa wamekomaa na wanajiamini sana. Miezi ya nyuma baada ya kuwa nyuma 2 bila tusingefurukuta kabisa. Ushindi wa leo utawapa matumaini kwamba wanaweza kushinda hata kama wakiwa nyuma. Hongereni sana wapenzi wote wa GUNNERS.
 
wakuu mlifaidi sana game,mie kazi zilinibana sema nilikuwa nakamata updates hivyo hivyo na hapa narudia game. Nashukuru sana vijana wameonesha wako matured zamani ngoma ingelala pale.

ushindi mkubwa sana mie mtanisamehe naomba kesho cameroon wafungwe hili SONG arudi kutusaidia kumalizia kazi nzito iliokuwa mbeleni.

its good to be a gooner.

AW, na mimi nilikuwa nawajibika maana ndiyo inaniweka mjini...LOL! nilikuwa nafuatilia online walikuwa wanaonyesha score. Pamoja na kuyajua matokeo lakini sasa hivi ndiyo naungalia na nitaangalia dakika zote 90....kweli kupenda kubaya! 🙂

Ha ha ha ha ha na dua lako kwa Cameroun...LOL!

Don't stop the momentum. Our next victim will be Aston Villa on January 27, 2010 (away match) it'll be a very tough match.

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=ASYcgZrHnl0&feature=related[/ame]
 
wakuu mlifaidi sana game,mie kazi zilinibana sema nilikuwa nakamata updates hivyo hivyo na hapa narudia game. Nashukuru sana vijana wameonesha wako matured zamani ngoma ingelala pale.

ushindi mkubwa sana mie mtanisamehe naomba kesho cameroon wafungwe hili SONG arudi kutusaidia kumalizia kazi nzito iliokuwa mbeleni.

its good to be a gooner.

Mi Tunisia leo!
 
What a menu @ Arsenal FC!!!!!!!!

Jan 24 Sun The FA Cup Stoke City Vs Arsenal
Jan 27 Wed Barclays Premier League Aston Villa Vs Arsenal
Jan 31 Sun Barclays Premier League Arsenal Vs Manchester United
Feb 07 Sun Barclays Premier League Chelsea Vs Arsenal
Feb 10 Wed Barclays Premier League Arsenal Vs Liverpool

throug this unscrathed ... ur champions 2010
 
Daaah wakuu hii ratiba ni ngumu muno aiseee.......! bt hope the boys will be able to go through!
 
What a menu @ Arsenal FC!!!!!!!!

Jan 24 Sun The FA Cup Stoke City Vs Arsenal
Jan 27 Wed Barclays Premier League Aston Villa Vs Arsenal
Jan 31 Sun Barclays Premier League Arsenal Vs Manchester United
Feb 07 Sun Barclays Premier League Chelsea Vs Arsenal
Feb 10 Wed Barclays Premier League Arsenal Vs Liverpool

throug this unscrathed ... ur champions 2010

Ni kipindi kigumu sasa,lakini nina iamni tutakabiliana nacho ipasavyo..Tutavivuka hivi vikwazo.....Never Give Up
 
arsenal-splash1_970771a.jpg

Wenger said: "I'm sorry if the tackle was not good. But it's unfair Coyle has complained we played on. "The referee was in a strong position and the players went on because they didn't even know what was happening behind them, whether the Bolton player was down or had got up again. "I don't believe you can kick the ball out every time a player goes down when you win the ball. "Remember our game against Everton when Denilson went down injured. I said then they shouldn't have kicked the ball out and that was a much more obvious situation. "We also got some big tackles over the two games against Bolton and we had to cope with it."
 
For the fairness of the game, William Gallas should be banned!
 
Mzee unakomaa mpaka basi,anyways game imeisha,tumeshinda 4-2

Shekhe huu utabiri wako ni soo)): Ilipofika half-time sikujua kama mngefanikisha 4-2 mwisho wa mpira!
Haya nawatakia kilele chema na mkae muda mrefu jamani mpaka kikombe,huh!..
Kudoz sana mkuu na fans wengine wa Ars!..
 
Tatizo la Arsene Wenger akisha fika kileleni anabweteka hawakiwii kushushwa mpaka nafasi ya 5.
 
Shekhe huu utabiri wako ni soo)): Ilipofika half-time sikujua kama mngefanikisha 4-2 mwisho wa mpira!
Haya nawatakia kilele chema na mkae muda mrefu jamani mpaka kikombe,huh!..
Kudoz sana mkuu na fans wengine wa Ars!..
......Haaahaaaa.......many thanks bibie........!
 
tunaongoza ligi tumemchapa bolton 4-2 mambo saaaaaaafi
,na kwa moto huu ninaouona sasa inshaalah ubingwa ni wetu vijana wetu wanatisha mno hivi sasa,ila tuna big mech 3 zinafatana kwanza 31/jan na man u,badae liverpool inafata ya chelsea tukishinda hizo game 3 sisi mabingwa inakua hakuna wa kutuzia tena na uwezo huo tunao.
 
,na kwa moto huu ninaouona sasa inshaalah ubingwa ni wetu vijana wetu wanatisha mno hivi sasa.
Hamna jambo litakalonifurahisha kama hili kwakweli. Arsenal ipo juu jamani, nimefurahi sana kukalia kiti. Big up all Arsenal players and coach, keep it up
 
For the fairness of the game, William Gallas should be banned!

Gallas escapes punishment

Gunners defender will not face disciplinary action for challenge

Referee Wiley is said to have thought that the challenge was only a coming together and that was why he allowed play to continue.

The FA do not 're-official' matches. Kwahio na wewe mkuu jaribu kuheshimu maamuzi ya refa.una react kama ni first time kuona issue kama hio.chelsea wenyewe mshwahi kufunga goli kama hivyo wakati foul imetokea hamkucheza fair play au umesahau?
 
Back
Top Bottom