Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ndio una kila sababu kutoipenda tangu imeanza kucheza ligi karne ya 19 arsenal ndio timu pekee kwenye top flight haijawahi kushuka daraja na timu pekee imecheza msimu mmoja na nusu bila kupoteza mchezo
 
Hapana! Wenger sio talent scout wa Man City, isipokuwa Mancity ni tawi la kuiingizia Arsenal mapato. Ebu cheki hii:
1.Emmanuel Adebayor-alinunuliwa kwa 7mil , akauzwa Mancitu kwa 25mil, faida 18mil.
2.Kolo Toure-alinunuliwa kwa 150,000, akauzwa Mancitu kwa 16mil, faida 15.85mil
3.Gael Cliche-alinunuliwa kwa 250,000, akauzwa Mancitu kwa 6, faida 5.7mil
4.Samir Nasri-alinunuliwa kwa 12mil , akauzwa Mancitu kwa 25mil, faida 13mil,
5.Bakar Sagna-alisajiliwa kwa mil 6, kaondoka bure!
Piga hesabu mjanja nani.

mjanja alimfunga mwenzake 6-3.
mjanja aliyechukua ubingwa mara 2, kwa msaada wa wachezaji uliowauza kwake.

[/QUOTE]

pole mkuu,inaonekana umekerekwa eenh!na bado gunnerz watakuonyesha mpira unatakiwa uchezejwe
funika kwapa
 
mjanja alimfunga mwenzake 6-3.
mjanja aliyechukua ubingwa mara 2, kwa msaada wa wachezaji uliowauza kwake.

pole mkuu,inaonekana umekerekwa eenh!na bado gunnerz watakuonyesha mpira unatakiwa uchezejwe
funika kwapa[/QUOTE]

e55c7ff143e5cdf60363df42f7fa007f.jpg
 
Aisee nilijua ile mechi ingeweza kwenda upande wowote nimeshangaa sana kwa bao 4-0, mie ni timu #TeamBrazil, #TeamEngland, #TeamCameroun, #TeamGhana, #TeamNigeria, #TeamAlgeria na #TeamIvoryCoast. Huko mitaani utacheka kwenye magari ya watu unakuta gari ya mtu ina bendera sita za mataifa mbali mbali yanayoshiriki kwenye WC lol!!!! Tuombe uzima Mkuu.

Tutakutana mwezi Agosti, Mwenyezi Mungu akipenda.

Ndiyo bana, mimi ni #teamBrasil #teamPortugal na #teamGhana ila leo Ureno wameuza mechi walahi!
 
kuna shida ya 'tactical discipline' kwenye timu nyingi za Afrika. Mpira unaanza huoni tamaa ya timu kupata goli, dakika zinakwenda pasi-pasi-pasi-pasi; wakifika karibu na goli la wapinzani wanapiga hewani hovyo hovyo tu.

Jambo la pili jirani ni hili: kuna shida na marefa bado. Unajua huwezi kuona kwa haraka kwa sababu hakuna kadi zinazotolewa. Lakini fikiri ile mechi ya Nigeria vs Iran, kuna mchezaji mmoja wa Iran alikuwa anacheza rafu mwanzo hadi mwisho, alipewa tu kadi ya njano.
Mechi ya Ghana vs USA, refa kabisa hakuwa anajali rafu za USA; sasa hii inachangia vizuri sana kuwatoa mchezoni wachezaji wa timu nyingi za Afrika.

ila IVORY COAST wako sawa; huenda watafika mbali mwaka huu.:israel:
......hehhe, I support #Germans na #Nigerians , hebu tuone watafika wapi.

#MosKwito !
 
Aisee nilijua ile mechi ingeweza kwenda upande wowote nimeshangaa sana kwa bao 4-0, mie ni timu #TeamBrazil, #TeamEngland, #TeamCameroun, #TeamGhana, #TeamNigeria, #TeamAlgeria na #TeamIvoryCoast. Huko mitaani utacheka kwenye magari ya watu unakuta gari ya mtu ina bendera sita za mataifa mbali mbali yanayoshiriki kwenye WC lol!!!! Tuombe uzima Mkuu.

Kaka BAK #Belgium is a team to watch,

Goalkeepers; Courtois aliyeng'ara na Athletico Madrid na Mignolet wa Liverpool,
kisha kuna kina Vertoghen, De Bruyne, Vermaelen, Mirallas, Hazzard Mdogo
ambaye Mourinho anamzimia balaa

hapo bado hujamtaja Hazzard Mkubwa --Eden, Lukaku, Benteke....ebana Wacha kabisa!
Hii squad yao nzuri sana, kazi kwao kucheza ki team zaidi.

Dogo wa ile MID-TABLE team Jazunaj naye anaweza inua jina kwenye World Cup,
he's a Whizz-Kid sema team anayochezea (Man United) siyo kabisa na hili hata Nzi na Belo wanakubaliana nalo
au.....labda Van Gaal "atamrefusha!" akichukua team.

...itakuwa raha #Algeria akishinda ila I also admire #Belgium all the way aisee...😛hoto:😛hoto:😛hoto:
 
Hahahahahah lol!!!! nimecheka hapo kwenye rangi nyekundu lol!!!! Ahsante sana Mkuu Mbu kwa hii taarifa. Sikuwahi kuwaona Belgium wakicheza kwa taarifa hii nitafuatilia kwa karibu mechi zao zote, hopefully watakuwemo katika 16 bora. Kilichonifurahisha hadi sana katika World Cup hii ni kiwango cha uchezaji ambacho ni kikubwa ukilinganisha na mechi za awali kule South Africa 2010.

CC: Mkuu Nzi

Last edited by a moderator:
...hahaha, sema kiwango cha team za Africa (apart from Ivory Coast) kimeshuka sana aiseee, Nigeria na Ghana mpaka huruma yaani, si Nigeria ile iliyokuwa inacheza ki team kama kina Jay jay Okocha, Sunday Oliseh, Amunike, Babayaro, Babangida, Yekini etc...hakuna mashambulizi ya maana...hakuna tena #Identity ya African football mle....wote 'uzungu' mwingiii....

Ghana nayo dahhh, ...nawa miss kina Yebouah, Abeid Pele na #AfricanFootball . IMO, katika team za Africa wanaocheza mpira mzuri sana wa #KIAFRIKA ni Senegal, na Zambia. Best team work japo wote hao hawapo kwenye World Cup.
Anyway, ngoja tuwaone Algeria não leo.

Back
Top Bottom