Hapana! Wenger sio talent scout wa Man City, isipokuwa Mancity ni tawi la kuiingizia Arsenal mapato. Ebu cheki hii:
1.Emmanuel Adebayor-alinunuliwa kwa 7mil , akauzwa Mancitu kwa 25mil, faida 18mil.
2.Kolo Toure-alinunuliwa kwa 150,000, akauzwa Mancitu kwa 16mil, faida 15.85mil
3.Gael Cliche-alinunuliwa kwa 250,000, akauzwa Mancitu kwa 6, faida 5.7mil
4.Samir Nasri-alinunuliwa kwa 12mil , akauzwa Mancitu kwa 25mil, faida 13mil,
5.Bakar Sagna-alisajiliwa kwa mil 6, kaondoka bure!
Piga hesabu mjanja nani.[/QUOTE]
mjanja alimfunga mwenzake 6-3.
mjanja aliyechukua ubingwa mara 2, kwa msaada wa wachezaji uliowauza kwake.