Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

article-2643839-00E940DE00000190-460_306x423.jpg

article-2643839-000DC50700000258-799_306x423.jpg

Specs appeal: Wenger joined Arsenal in 1996 (top).
He is the longest serving manger in English football

article-2643839-0015339900000258-118_634x422.jpg

Familiar sight: Wenger (left) on the bench for a match
against Leeds in October 1996
 
Fungu limetengwa Paun 100 mil kwa ajili ya usajili wachezaji 5 wenye majina makubwa...hiyo keshapromic Prof.
 
Fungu limetengwa Paun 100 mil kwa ajili ya usajili wachezaji 5 wenye majina makubwa...hiyo keshapromic Prof.

Ni good news mkuu though ni ukweli kuwa mara nyingi wachezaji wanaotajwa mara kwa mara katika media kuwa watasajiliwa na arsenal inakuwa kinyume chake, but yote kwa yote tuvute subira naamini baada ya World cup kuna mengi yatatokea.
 
Target ya Wenger Msimu ujao ni makombe na si vinginevyo, coz uhai wa mkataba wake mpya ni Unyakuaji wa Makombe!! So asiposajili means inakula kwake!! Ngoja tuone,mistakes will never be Repeated@@!!
 
Fungu limetengwa Paun 100 mil kwa ajili ya usajili wachezaji 5 wenye majina makubwa...hiyo keshapromic Prof.

Wachezaji wenye majina makubwa sio chini ya £ mil 30 so anaweza pata kama 3,Kama kawaida yake Wenger atanunua wachezaji walewale anaonunua siku zote.Last season aliwakosa Higuain,Suarez,Draxler wote hao hakuna aliyeuzwa below £ mil 30
 
Wachezaji wenye majina makubwa sio chini ya £ mil 30 so anaweza pata kama 3,Kama kawaida yake Wenger atanunua wachezaji walewale anaonunua siku zote
Hapana Mkuu, nilishaeleza tangu mwanzo...Uhai wa Wenger sasahivi ni kuti kavu, ni Kuleta vikombe tu...NOTHING ELSE, so akifanya kwa mazoea anajichimbia mwenyewe kaburi, so hata tukipata wacheza wa3 wakubwa na wawili average players is more than enough!! We can win another trophy...Hahahaaa , nyie mtaa wa 7 sijaona mikakati yenu.
 
Amepatikana kocha makini yaleyale magarasa yanaweza kufufuka tukagawa dozi
 
ARSENAL WANAWAKE YASHINDA KOMBE LA FA
Timu ya wanawake ya Arsenal imeichapa Everton ya wanawake 2-0 na kunyakua Kombe hilo.

10430407_441530345984433_7619113213836054734_n.jpg
 
Kumbuka hayo magarasa yalimpa dozi Wenger

Sawa nakumbuka na tayari nilishaweka katika kumbukumbu zangu ninchaongelea sasa wewe yaache hayo magarasa ili watu tushuhudie namna yatakavyotoa dozi msimu ujao kama unavyodai.
 
Hinguain hakusajiliwa na arsenal kwa kuwa madrid walileta uswahili baada ya napoli kuja na ofa ya juu wakati dili la kwenda arsenal karibu wanakubaliana difference ilikuwa euro milioni mbili wakarudi kwenye msimamo wao wa awali gunners wakachomoa.
 
Back
Top Bottom