ARSENAL WANAWAKE YASHINDA KOMBE LA FA
Timu ya wanawake ya Arsenal imeichapa Everton ya wanawake 2-0 na kunyakua Kombe hilo.
![]()
Hiyo Inaitwa TWANGA KOTE KOTE Jomba.....!!!Mpira wa kike?😕
mpira wa kike?😕
Hiyo Inaitwa TWANGA KOTE KOTE Jomba.....!!!
Hulk ndani ya emirates muda wowote
Mkuu Si-zinga karibu kule CHELSEA FC THREAD utupongeze kwa kumuuza DAVID LUIZ na kusajili DIEGO COSTA.
Karibu sana jirani.:israel:
#GloryHunterCHELSEA FC - HOME OF GREAT PLAYERS.:israel:
ARSENAL WANAWAKE YASHINDA KOMBE LA FA
Timu ya wanawake ya Arsenal imeichapa Everton ya wanawake 2-0 na kunyakua Kombe hilo.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Emirates ikifanyiwa ukarabati ..... .... ...
Kila atakayekanyaga hapo msimu ujao atachukua kapu la magoli .... ..
when the Grass is not always greener on the other side.
.....aisee, yale yale ya Alexander Hleb.....sasa Fabregas naye kimenuka!
halafu babu Wenger alivyo kiburi anakwambia nasisi hatumtaki...:loco::loco::loco:
dogo alichagua mapenzi ya familia akasahau mapenzi ya fans. Hatuhitaji mafundi wapo wengi labda aende kwa wapaki bus
aisee wale wazee wa dozi ya 6-0?
hatari sana..