Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nashukuru kwa kutambua hilo mkuu so kwa sasa hupaswi kusema kuwa Arsenal hataingia hata top 4 wakati ukiangilia kwako wewe kwa kiasi kikubwa unahitaji kufumua kikosi chako kwa asilimia zaidi ya 70 wakati wenger anahitaji wachezaji wanne au watatu.
sawa lakini historia ya wenger inajionyesha kwamba huwa hafanikiwi kaika usajili kwa kusajili eneo lenye tatizo as we all know tokea rvp ameondoka arsenal bado hamjasettle kwenye striker wa uhakika kwa kocha mwerevu wa kutoshaangesajili striker dirisha kubwa (still sielewi mlimkosaje higuain) au mngesajili kwenye dirisha dogo lakini mpk sasa bado bilabila na kwa wenger ninavyomjua its hopefully angemtegemea sanogo na giroud so mptakuwa hamjsolve tatizo though tusubiri usajili uishe ila wenyewe wanakwambia experince is the best teacher
 
inaweza ikaumazaidi ya hii

bsr.jpg

Dah!mtaa wa 7 pamotooooo.......yan manure wakichukua epl mwakani nipigwe ban la milele....hawa top 4 wataitafuta kwa tochi

hujajibu swali inawea kuuma zaidi ya picha hapo juu!! teh teh teh
 
man u we can forget that arsenal did win fa last season bt,arsenal players cant forget this(the picture above)

Mndengereko Unasahau mapema..
Umesahau 2001-2 pale OT??
 

Attachments

  • 1401108413993.jpg
    1401108413993.jpg
    76.6 KB · Views: 84
  • 1401108441526.jpg
    1401108441526.jpg
    43.1 KB · Views: 81
Wenger kashasaini extension. Watch out haters mwakani ni wetu quadruple ndani ya Emirates.
 
8255CF753035FFDA1F99CD73EFC14.jpg



gun__1401456346_wenger_facup.jpg



Kama tulivyochema .... .. ... Prof haendi kokote ametulia Emirates ... ... .
haters kuleni mawe ... ..Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom