Vs![]()
![]()
July 26 .... ... .... ... sold out .. ... ... kama vipi unahitaji tiketi tuwasiliane ... ... ..
Sidhani kama ni makosa ya Wenger kutochukua makombe kwa muda wote huo, kumbuka tumejenga Emirates Stadium uwanja bora zaidi baada ya Wembley Stadium pale Uingereza huoni alijua nini yatakayokuja mbeleni kama FFP inayoiumiza ManCity sasa hivi wewe unafikiri Mapato yangekuwa kama haya tuliyonayo sasa kama tungebakia Highbury Stadium pamoja na hao mastaa tuliokuwa nao tungeweza kwenda na mishahara yao angalia Liverpool , Chelsea na Tottenham wote wanaangalia uwezekano wa kuongeza viwanja vyao ili wapate mapato makubwa yatakayoendana na matumizi yao makubwa ya mishahara na ada kubwa za uhamisho wa wachezaji
Kama ndivyo, kwanini msibadili jina la klabu na kuwa Arsenal Financial Company? Kwa sababu, inavyoonyesha, mafanikio ya kiuchumi yanakuja kwanza kabla mafanikio halisi ya klabu ya soka, ambayo ni kushinda vikombe. Hilo la kiuchumi lapaswa kuja baada ya kushinda vikombe. Na ni wazi kwamba, kadri klabu inavyoshinda vikombe ndivyo inavyozidi kufanikiwa hata kiuchumi!!
Ukweli utabaki kwamba falsafa ya Arsene Wenger uwanjani imeshindwa kufanya kazi, yeye toka baada ya cohort ya kina Chogo kuondoka, amekuwa akidai anajenga timu, ndiyo maana alikuwa akitumia wachezaji wenye umri mdogo, akiamini kuwa anawajenga!! Anawajenga hadi lini? Huyo Wheelchair aliyekuwa overhyped na overrated amekuwa mvuta fegi (nashangaa eti kaitwa timu ya taifa!! Duh majanga kweli!!). Pia aidha kuna shida ya aina ya mazoezi anayowafanyisha wachezaji wake au wachezaji wenyewe ndiyo tatizo. Kwa maana haiwezekani, timu inakuwa na wachezaji majeruhi kila mwaka (hii ni moja ya visingizio vya goons wengi hata Arsene Chenga mwenyewe, eti injuries have costed the team!!).
Kwenye nyekundu: duh! Hiyo sentensi imeniacha hoi! Kwa hiyo Arsene Chenga amekuwa mtabiri ama nabii? Kwa hiyo aliona mbeleni kutatungwa Financial Fair Play regulations?! Halafu acha kuleta visingizio visivyo na mashiko. Toka goons wamehamia Emirates, wamekuwa wakisema wanatengeneza faida na hawana madeni makubwa. Kwa muktadha huo, FFP isingekuwa inawabana. Na kumbuka FFP imeanza kwenye msimu wa 2011-2012. Kama faida goons ilikuwa imeshatengeneza sana, hivyo wangeweza kununua wachezaji wakali kama wangehitaji; kwani FFP inazuia vilabu kuspend in transfers more than they earn! Sasa goons wangeshindwa kutizima FFP regulations kwa mapato yao?!
Anyway, huu ni mtazamo wangu kama mpenzi wa mpira wa miguu (ingawa ni wazi upenzi wangu upo kwa #ManUnited lakini hilo halinizuii kuongelea masuala ya vilabu vingine). Nafanya hivyo for the love of the beautiful game! Ila ni heri kwa upande wangu kama shabiki wa #ManUnited Arsene Chenga abaki, ili timu iiendelee na harakati zake za kugombania ubingwa wao (which is also Arsenal's birthright).

the problem with these people wanajifanya kujitoa ufahamu wakati tunatambua kabisa wanajielewa.
next season mkuu mkitoka kapa msije na kisingzio cha majeruhi tafadhali mje na chingine,na wala kisiwe cha kocha(wenger) kama mlivyokuwa mnalalamika miaka ya nyuma maana ni tatizo ambalo liko ndani ya uwezo wenu sisi tulikuwa na tatizo tumeligunda tumelifanyia kazi na kulisuluhisha so next season tukitoka kapa hatuna kisingizio

wewe waona hivyo ila ukweli w mambo ni kwamba hatuko bias na tunaanalyze all available opputtunities katika kumake our own decision mwaka jana goal.com kabla hata ya ligi kuanza walitabiri man u kumaliza out of top four binafsi nilishangaa walipatywa na wazimu gani lakini mwisho wa siku nimekuja kugundua kwamba walikuwa hawako bias katika kufikiria kwao na sasa na mii nimejifunza hicho so tusubiri usajili uishe then baada ya kujua nani na nani kassajilia wapi ndo tutaweza kujua timu gani inaweza ikawa tishio tumeanza na luke shaw,muller tetesi zinasme ashakubali deal wengine watafuatalets wait and see mkuu nini kitatokea naamini baada ya kombe la dunia kuna Mengi yatatokea hasa katika Trasfer Market na mwisho tuusubiri msimu ujao utakuwaje.
The problem ni kuwa akina Sheikh Yahaya na TB joshua mmekuwa wengi mno katika ulimwengu wa Soka.
SAF ilikuwa lazima tumuheshimu kwenye maamuzi coz ile glazer family yote imemkuta pale fergi so hakuna anaeijua mna u vizuri kuliko yy ukilinganisha na mafanikio aliyoyaleta,ila baada na yy kuchemka this time hatujamsikiliza alivyompendekeza giggs kuwa mrtihi wa moyes na tumeenda kumchukua perfect oneHahahahahaha lol!!! Mlitakuwa mlione hilo mapema badala ya kumuachia SAF awafanyie maamuzi.
we did win community shield.You have just started to enjoy trophyless season...but you are not alone....Barca are dancing the same music. By the way (BTW) how do you feel it?
hao mahipukizi naowategemea ndio wanaokuja kuwacost? kwani kuna timu inayokosa chipikuzi lakini mbona haziachi kusajili? nyie endeleeni na philosophy zenu hizohizo timu ikijaa sana makinda inakuwa hamna wa kumkaripia mwenzake wala seriousnesslets wait and see mkuu kweli Sagna akiondoka itakuwa ni pengo but naamini prof atasajiri beki mwingine coz kwa nafasi hiyo tayari kuna chipukiz Jenkson so naamini hawezi kuongeza chipukizi mwingine.
......mnh, mmeumia kweli Arsenal kuchukua ubingwa wa FA ee? Tena kwa mbwembwe zote,
1. Kuvaa suti rasmi za fainali.
2. Kuimbiwa wimbo wa taifa
3. Kukaguliwa na kukabidhiwa kombe na #MwanaMfalme aka #MfalmeMtarajiwa aka #MwakilishiWaMalkia ....
4. Kuonyesha ukomavu, yaani kushinda game in-style.... 0 - 2
to 3 - 2!!! Ddddaaadddeki!
5. Victory parade baaabkubwa!
.....na bado, mtaugulia sana hapa... Nzi, Belo, na nyote mliokuwa mnatubeza halafu bado mnaugulia chukueni hizi;
View attachment 159715
View attachment 159716
#MosKwito !
I discussed with you this matter here>>>>we did win community shield.
inaweza ikaumazaidi ya hii
![]()
hao mahipukizi naowategemea ndio wanaokuja kuwacost? kwani kuna timu inayokosa chipikuzi lakini mbona haziachi kusajili? nyie endeleeni na philosophy zenu hizohizo timu ikijaa sana makinda inakuwa hamna wa kumkaripia mwenzake wala seriousness
wewe waona hivyo ila ukweli w mambo ni kwamba hatuko bias na tunaanalyze all available opputtunities katika kumake our own decision mwaka jana goal.com kabla hata ya ligi kuanza walitabiri man u kumaliza out of top four binafsi nilishangaa walipatywa na wazimu gani lakini mwisho wa siku nimekuja kugundua kwamba walikuwa hawako bias katika kufikiria kwao na sasa na mii nimejifunza hicho so tusubiri usajili uishe then baada ya kujua nani na nani kassajilia wapi ndo tutaweza kujua timu gani inaweza ikawa tishio tumeanza na luke shaw,muller tetesi zinasme ashakubali deal wengine watafuata
lets wait and see mkuu kweli Sagna akiondoka itakuwa ni pengo but naamini prof atasajiri beki mwingine coz kwa nafasi hiyo tayari kuna chipukiz Jenkson so naamini hawezi kuongeza chipukizi mwingine.