Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hahaaahahaa @Mdengerekoooo 🙂🙂🙂 You did not have pressure!!!! Then why did you fire MONOO!? Si mngemuacha tu kwa miaka kama 9 hivi aendelee kufanya madudu!?

images


images


images


images

Signed: #TeamArsenal

CC: Brother Mbu, Nzi na wadudu wote hapa jamvini bila kuwasahau #Mamburukenge
🙂🙂

ahsante ila hatuna pressure tunawahesabia the gunners miaka tisa mingine!!
 
Last edited by a moderator:
Yaaani sijui nianzie wapi maanaa ndo nimefunguliwa kutoka kwenye ban..hongereni aseno
 
Ahsante sana mtani wetu, angalau wewe umetupa hata hongera iliyonyooka, wengine hongera zao zimepindapinda na masimango juu lol!!!! Nisalimie wote hapo kwenu Санкт-Петербург

Watani wangu HONGERENI sana wapendwa. The Gunners mpo juu kama matawi!! Kudozzzzz
 
It has been 10yrs since Man utd won the FA cup. Tuambieni kuna vitu vingapi vimetokea tangu Man Utd walibebe hili kombe
CC belo, Nzi,DonDonald,Mndengereko, Prondo
#Man utd thread
 
mimi ni fun mkubwa wa arsenal na leo nimefurahi sana. ila mkuu maneno uliyoyaongea hapo juu ni kweli tupu wenga hana tena jipya aondoke tu. tumechoka na ubahili wake wa kutosajili wachezaji bora.huyu mzee angestaafu leo kwa heshima kuliko huko mbele atafukuzwa hana jipya.

Sidhani kama ni makosa ya Wenger kutochukua makombe kwa muda wote huo, kumbuka tumejenga Emirates Stadium uwanja bora zaidi baada ya Wembley Stadium pale Uingereza huoni alijua nini yatakayokuja mbeleni kama FFP inayoiumiza ManCity sasa hivi wewe unafikiri Mapato yangekuwa kama haya tuliyonayo sasa kama tungebakia Highbury Stadium pamoja na hao mastaa tuliokuwa nao tungeweza kwenda na mishahara yao angalia Liverpool , Chelsea na Tottenham wote wanaangalia uwezekano wa kuongeza viwanja vyao ili wapate mapato makubwa yatakayoendana na matumizi yao makubwa ya mishahara na ada kubwa za uhamisho wa wachezaji
 
article-2632131-1DF840D900000578-724_634x441.jpg

Prof Arsene Wenger proudly holds aloft the FA Cup,
won by beating Hull after extra-time at Wembley


article-2632131-1DF8CA5500000578-439_634x426.jpg


The Red Sea: Thousands of fans turned out
to celebrate Arsenal's FA cup win



article-2632131-1DFC20E100000578-29_964x390.jpg


Transfer targets .... ... .


article-2632173-1DFC9B1800000578-827_636x466.jpg


Decisive moment: Wenger brought Tomas Rosicky (left)
and Jack Wilshere (right) on during extra-time
 
Back
Top Bottom