BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,494
- 4,076
Ooh Walcott.. Congrats again Arsenal
It has been 10yrs since Man utd won the FA cup. Tuambieni kuna vitu vingapi vimetokea tangu Man Utd walibebe hili kombe
CC belo, Nzi,DonDonald,Mndengereko, Prondo
#Man utd thread
Nilikwambia kuwa Wenger atachukua FA na kupata number 4,hii ni habari nzuri kwetu sababu ataongezewa mkataba na kuendelea kuwa agent wetu
Nilikwambia kuwa Wenger atachukua FA na kupata number 4,hii ni habari nzuri kwetu sababu ataongezewa mkataba na kuendelea kuwa agent wetu
Teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh! Me sina hiyana leo napokea hongera zote za kinafiki na zisizo za kinafiki, na sasa naamini ile series ya 9 years of trophyless is over and now we are waiting for another series from u all.
teh teh teh ni baada ya saa 8 usiku mkuu nilikuwa nazagaa humu na kushuhudia wenyechuki but nikashuhudia kuwa woote mmesanda.
Kiu uhalisia ngao ya hisani inaangukia msimu ulio pita wala si msimu huu....kwa sababu inachezwa kabla hata ligi kuanza...na inakutanisha washindi wa makombe ya msimu uliopita. Kwa maelezo hayo
Manure ooh sorry Manchester United msimu huu imeambulia patu...nyodo zote za Robin Van Persea kwishney..!
Kuna na wale waliosema Le Professer Wenger ni "Specialist in Failure" na wavutia pumzi...!!
Tena zingekuwa sita, referee katia mfukoni 3 penalties na lile goli la wazi jamaa akapata kigugumizi cha miguu na kupiga juu ya goli ilhali alikuwa yeye na nyavu.
![]()
Sealed with a kiss: Wenger thanks defender Bacary Sagna after the final whistle (Wasimuache akaondoka huyu, wale MANU washaanza kumzengea)
haya mku ilikuwa ndo wakati wako wa kujidai.,ila na wasiwasi pengo la sagna itakuwa ngumu kidogo kuliziba kwa philosophy za wenger anavyopenda kutumia chipukizi.
Nilikwambia kuwa Wenger atachukua FA na kupata number 4,hii ni habari nzuri kwetu sababu ataongezewa mkataba na kuendelea kuwa agent wetu
You have just started to enjoy trophyless season...but you are not alone....Barca are dancing the same music. By the way (BTW) how do you feel it?hakuwa na kaliba ya kuiongoza man u ndo maana tumemfukuza.we dont entataini trophyless season
hakuwa na kaliba ya kuiongoza man u ndo maana tumemfukuza.we dont entataini trophyless season
hahahah huyo mshamkosa,subirini wenger awwaletee chipukizi tu hapo