Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,306
- 3,413
Tukienda penati tu twafwa....
What a miss by Ramsey
keep calm acheni pressure mkitulia mechi mnashinda hii
Tukienda penati tu twafwa....
What a miss by Ramsey
Huyu Sanogo huyu....Mbona hatulii?
Tukienda penati tu twafwa....
What a miss by Ramsey
Tatizo ni World cup Chifu...
Ozil anacheza kwa tahadhari sana akiogopa kuumia...
Mie hata sielewi kwanini yuko uwanjani.
Mambo bado magumu
Naweza kusmell trophy less season nyingine Chifu...Timu inacheza hovyo...Hakuna kabisa mipango ya ushindi...
Wilshere na Rosicky wanaingia...Ozil nje
#Mburukenge haoooo wanasepa kimya kimya hahahahahahaha lol!!!!
Game bado sana hii Chifu...Tatizo defence yetu haitabiriki#Mburukenge haoooo wanasepa kimya kimya hahahahahahaha lol!!!!