Arsenal (The Gunners) | Special Thread

.....bila kumsahau Robbie Savage 😉


#MosKwito !
Huyu jamii huwa ananifurahisha na kunishangaza anavyowananga kwa sasa wachezaji wa mpira wanao play-act uwanjani wakati yeye ndiyo alikuwa master katika eneo hilo.

Robbie alikuwa ni mchezaji anayeweza kumfanya mchezaji mwingine akapata hata red card uwanjani kwa jinsi alivyokuwa mtalaam wa provocation lakini cha ajabu alipata red card moja tu katika EPL.

Kinachonifanya nimpende katika pundit ni uwezo wake wa kuwa mkweli hasa katika ulimwengu wa sasa wa football ambao nao umekuwa kama siasa zinazochagizwa na political correctness.
 
hicho ndicho mnachokiwaza misimu nenda misimu rudi kujihakikishia usalam wa nafasi yenu ya nne

Nyie mlishindwa kufikisha malengo ya kuipata hiyo nafasi mnayotubeza kila mwaka. Moyes alipewa lengo moja, la kuipeleka timu UCL mwakani na akachemsha. Hamna la kutucheka mwaka huu. Kwanza inaelekea mna shida ya kupata kocha mpya, kila mnayemu approach anawatolea nje. Subirini mwakani mje kuchonga.
 
tumpate mara ngapi pale anakuja van gaal washakubaliana tayari sema kwa ethics za kazi hawawezi kuweka wazi mpk asign so we subiri official news tu ila trust me kabla ya tarehe 7 atakuwa confirmed kocha wa man u
 
Manutd tatizo ni madeni hayalipiki. Umiliki wake ni mzigo wa uendeshaji. Ununuzi wa wachezaji huku kuna mzigo mkubwa was riba ya kulipia madeni ni kimea.
 


Until we meet again - Prof. Arsene Wenger told fans at the Emirates
that he will be back next season

 
Reactions: Mbu



Selfie time: England trio Theo Walcott, Alex Oxlade-Chamberlain
and Carl Jenkinson pose for a snap





Lap of honour: Bacary Sagna waves to the fans
following Arsenal's final home game of the season




Family time: Jack Wilshere introduces his children
Archie and Delilah to the hallowed Emirates turf





Fisheye: Arsenal players gearing up ahead
of their clash with the Baggies





Difference: Olivier Giroud netted the only goal
of Arsenal's last home game of the season




Baying crowd: Giroud celebrates his winner
in front of the Arsenal faithful





Spectator: Loic Remy was among the crowd
as Arsenal beat West Brom on Sunday





To Wembley: It is the last time Arsenal will play
in London until the FA Cup final in two weeks
 
Wakuu waGunners tumemaliza leo mechi ya mwisho Emirates kwa mwaka huu, tunamaliza EPL weekend ijayo away match na baadaye tunaangalia Wembley kwenye kinyang'anyiro cha FA cup ... .... all the best to all and have a nice summer/winter. Its all up to Loser Fools and Mancs to win it, we will meet again next season where we have lost Manure oo..... oooos they are still there, bado wanawanga hawana hata kocha. Morinyo proves to be the only manager who will be sacked in the coming days for the second time ... ... where will he end up? May be Porto where he started .... .... ...maana Romano yuko furious.
 
......COYG!!!......WHERE ART THOU?
TOGETHER WE STAND,......dahhhh, msimu ndio unakata kona,
soon majukwaa yatakauka story haya,...

One final EPL game, then closing the curtain kwa FA cup final...
dahh,...cant wait for the day aisee,...MwenyeziMungu atuweke hai na uzima.
Naiona siku hiyo atashinda Nzi hapa aliyevaa Belo la Mndengereko! si unawajua tena
hawa watu kwa domooooo!

Ntuzu keshajikubalia matokeo sasa, kimyaaaaa na Mentor wake.
Come on you Gunners!...one final push!!!
kamanda Wacha, rubaman, Sizinga, Wandugu Masanja, Balantanda, piere. Fm, Ng'wamapalala et al..
...#TogetherWeStand !!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu pamoja sana, Kama tutashinda mechi ya leo basi itakuwa last 5 games zote tumeshinda. hii inaonesha kwamba kama tungekuwa kule juu like we did before basi kuna uwezekano mkubwa wa kuchukua EPL, so far kuna marekebisho flani inabidi yafanyike ndani ya kikosi hasa kudhibiti timu kubwa zisitufunge, tukiweza hilo basi hamna timu ya kutusumbua pale Britain..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…