Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Come on Gunners, mpo wapi Sizinga, Mbu,Wacha. 1, Balatanda, Katavi, Ng'wampalala na wengineo au ndio tunanyimana pilau la pasaka!?
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Mbu
Karibuni tena kipindi cha dakika 45 za mwisho za mtanange kati ya Hull city na Arsenal. Mpaka sasa Arsenal wanaongoza bao 2 kwa bila.
 
Kwani leo si FA final jamani au vipi?na kinachogombewa hapo si kombe au nini?ndiyo ndoo niliyomaanisha c'umoooon gunners

Hahahaa duuuh..!!
Nina wasi wasi na dunia unayoishi labda ni tofauti na hii niliyopo..!!
FA final?? Gunners??😳
 
What a goal! Lukas podolsk is looking for the hatrick.
Wonderful finish.
 
Back
Top Bottom