Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Duh ulikuwa kwenye kichwa changu nilitaka kusema neno Besela nikaona nitaonekana wa zamani hehehe Leo nawapa Nguvu wale watani na mpinzani wanaocheza baadae watoe tu draw!
manUnited na Everton watoke 0-0 au 10-10.
 
Goooo podosky anaachia jiwe kali mpaka golini na anaipatia aseno bao la 2, dakika ya 45.

Asn 2 Hul 0
 
Haya haya kumekucha, leo ni leo msema kesho ni mwongo, mtoto hatumwi dukani leo, asiye na mwana aeleke jiwe. Ni kipute kikali cha kupigana kufa na kupona kuokoa nafasi ya 4. Tuwemo.
Ntuzu, Nzi, Job K, babtutu njooni huku tumcheki jirani yetu mzee wa vipaji.

Nishajongea huku kaka
 
Last edited by a moderator:
Duh ulikuwa kwenye kichwa changu nilitaka kusema neno Besela nikaona nitaonekana wa zamani hehehe Leo nawapa Nguvu wale watani na mpinzani wanaocheza baadae watoe tu draw!

teh teh teh old z gold mkuu pamoja sana.
 
Goli jengine Zuri Aaron Ramsey Arsenal walimmiss game hii ni trailer tu movie yenyewe ni Final FA cup!
 
Duh ulikuwa kwenye kichwa changu nilitaka kusema neno Besela nikaona nitaonekana wa zamani hehehe Leo nawapa Nguvu wale watani na mpinzani wanaocheza baadae watoe tu draw!

Ipo hiyo kaka, besela. Mtambaa wa Panya ila inavyotamkwa sasa "mtamba'a panya"
 
Duh mpira uishe tuchukue ndoo yetu tumeshachoka lile jina la trophyless
 
Back
Top Bottom